Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Weekend hii hatuna Mechi Coz Kunachezwa FA cup na sisi tumeshatolewa!
Hapa Mpaka next week tarehe 24 ndiyo tupo Anfield EPL vs West Ham.
Hii itatupa muda mzuri wa kujiandaa
Weekend hii hatuna Mechi Coz Kunachezwa FA cup na sisi tumeshatolewa!
Hapa Mpaka next week tarehe 24 ndiyo tupo Anfield EPL vs West Ham.
Liverpool ipo ktk mikono sahihi ya Kloo.Period!What r comments. Mkuu upo right sana. Napenda sana aina yako ya uchambuzi. Upo deep na unaijua sana liverpool. Bravo mkuu MosDef
SFM noma acha kabisa, weka mbali na watoto
Kumbe tutapata muda wa kutosha kufanya maandalizi ya kuwanyoa vipara West Ham United...!Weekend hii hatuna Mechi Coz Kunachezwa FA cup na sisi tumeshatolewa!
Hapa Mpaka next week tarehe 24 ndiyo tupo Anfield EPL vs West Ham.
Kinacho nishangazaga mechi inaweza kua ngumu wachezaji waache kubagua mechi kila mechi ni muhimu sanaVijana wanapumzika weekends hii tayari kwa game na WHU week ijayi!
Week ijayo Liverpool anakuwa namba mbili kwenye EPL na kuzima critics hapa na kwingineko!
Liverpool anamaliza wa pili EPL kuonyesha kuwa tuna improve kila mwaka
Kinacho nishangazaga mechi inaweza kua ngumu wachezaji waache kubagua mechi kila mechi ni muhimu sana
Coutinho pale Barcelona hawezi kuwa legend, atakuwa mpita njia tu kama akina Deco, Henry and the likes...angebaki Liverpool aongezewe mshahara, he was the legend in the making. Na team ndiyo inaelekea pazuri kwa sasa.Dah! I'm very sorry to Coutinho! He came from Liverpool's Hero and now he is nothing in Barcelona!
Nimegunduwa Wazi Kuwa Kwa Sasa Hawezi Kuwa Juu ya Messi, Suarez na Iniesta!!!!
Even Position Yake Anayocheza Barcelona basi anacompete na Iniesta.
Ilikuwa kila unapopita anatajwa na Kujadiliwa Coutinho! Lakini sasahivi wapi!!!
The real problem is, He can't fit their Formation with Dembélé coming soon
Ni hatua nzuri kabisa hiyo...hawa vijana itabidi walindwe kwa nguvu zote!Mane na Liverpool wameanza mazingumzo ya kumuongezea mkataba na mshahara mnono hadi 2023!
Mkataba wa sasa wa Mane ni hadi 2021 na Liverpool imeona busara kumpa miwili zaidi na ku double mshahara wake wa pound 80,000 anaopata sasa kwa week!
Salah pia mazungumzo yake yataanza soon kuhusu kuongezewa mkataba!
This is Klopp!!
Klopp is cool but we need a f.....g silverware. that's LFC's DNA!!Mane na Liverpool wameanza mazingumzo ya kumuongezea mkataba na mshahara mnono hadi 2023!
Mkataba wa sasa wa Mane ni hadi 2021 na Liverpool imeona busara kumpa miwili zaidi na ku double mshahara wake wa pound 80,000 anaopata sasa kwa week!
Salah pia mazungumzo yake yataanza soon kuhusu kuongezewa mkataba!
This is Klopp!!
Klopp is cool but we need a f.....g silverware. that's LFC's DNA!!
Conte has lifted an EPL title in his first season.
Mourinho lifted 2 trophies with Manure in his debut season.
that's what we'll gauge Klopp against... being in his 3rd season with zero silverware is not good enough for LFC.