Hichi ulichokiandika Hichi ndiyo tunachokiwaza Sote hapa lakini ulichelewa kukiwakilisha.
Nashukuru Kuwa umeshaweka Weka wazi sasa nadhani Hatutovutana tena.
Tulichokuwa tukikosoa Ni hicho ulichokitaja Kuwa Klopp alirithi Kikosi Kibovu Tokea 2015 cha kina Sturbridge, Origi, Beki ya Lovren na Klavan, Moreno, Mignolet Ndani ya Misimu miwili aligoma Kukibadilisha. Kwahiyo Hapa tuliona Kama alisaliti matarajio yetu tukahisi Ni bora tu na yeye aondoke.
Lakini Msimu Huu alipomnunua Keita, Robertson na Mo Sala tukajenga Matumaini, ila tulimlaumu Kwanini Beki Hakuifanyia Marekebisho Hata Kidogo? Kwahiyo tukampiga Madongo tena. Kwani Waliendelea Kutufungisha Mechi Muhimu sana.
Lakini baada ya Kuumia Moreno na Kucheza Robertson halafu akaja na [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] basi kama unapeleleza Hatumkosoi tena Klopp Kuhusu Ulinzi.
Kwahiyo Mkuu sisi usitutafsiri Kuwa Tunamchukia Klopp na Kuona Sio Kocha! Hapana! Tunaamini Ni Kocha Mzuri na Ni Sahihi Kwa Liverpool, ila tulitofautiana na Kwa Sera zake.
Kwahiyo naamini na Wewe pia ulikuwa unayaona matatizo ya Liverpool lakini ulishindwa tu Kuyasemea.
Kwahiyo mkuu kumlaumu Klopp usione tunakosea Kwani nayeye anakosea kama wanadamu wengine.
Kwa sasa tunaungana na Wewe Kumsifu Klopp Kwani anatufanyia kile tunachotaka na tulichomwajiria.
Bro, number 1 rule ya huu mchezo wa soka kwa any football fan ni kuwa "dont ever try to explain to anybody on how you feel about the club unayoisupport, iwe ni furaha/frustration/criticisms/let downs etc"
you dont need to explain your frustration/criticisms/happiness towards the club kwasababu kila binadamu ana "sense of humor" yake binafsi, reaction yako kama team ikifungwa yaweza kuwa tofauti na ya mwingine and that is the human nature.
so kama kuna siku unaona kuwa Club imekudissapoint at any way, just share your opinions and views,
Kama unaona Club inakukwaza kwa jinsi inavyoendeshwa, just share your views and frustrations,
kama team imefungwa na wakati unaangalia match uliweza kuspot some weaknesses za kufungwa huko, just share your criticisms.
na kama team imeshinda na inaonesha maendeleo mazuri, just share your happiness.
you dont need to care about other peoples opinions/views about your comments, because you have chosen to be a football fan, na ni wajibu wa shabiki wa mpira yeyote yule duniani kushare mawazo yake binafsi kwa wakati wowote ule, thats what the football world is made of and not otherwise.
you're paying your own money to watch LFC, to buy club's merchandise, to share your views about the club on different platforms (including JF), and you're not doing this because its a 'MUST' but because you love your club. so dont ever try to justfy your views about the club kwa mtu yeyote yule.
nature ya maisha ni kuwa na pande mbili, (hasi na chanya), na ndo hata ilivyo katika michezo na katika opinions pia, kila mtu yupo entitled na opinions zake, na kila mtu ana uhuru wa kushare mawazo yake, but it takes such an "ignorant person" to get personal about his fellow Club supporters opinions, how can you get personal about other reds opinions wakati wote tunahitaji kitu kimoja tu "Trophies na mafanikio kwa club"? kuna hata shabiki hata mmoja ambaye anawish club ianguke?
Criticisms are everywhere, you cant escape from criticisms (especially in football where some supporters huwa wapo tayari kufa kwa ajili ya club), Jesus Christ had critics, S.A.W had critics. Nyerere/Mandela had critics, even worlds geniuses like Newton, Einstein, Plato etc had critics, so why LFC isiwe na critics? why Klopp asiwe na Critics? LFC have gone through a very bad patch kuanzia 2009, hakuna shabiki yeyote ambaye anataka kurudi kwenye hicho kipindi, ndo maana tunapenda kuona club ikiendana na speed ya modern football.
you're doing a very good job on here my brother, dont let anyone tell you otherwise, na siku zote tambua kuwa kuna a lot of Liverpool fans ambao wana appreciate unachokifanya kwenye hii thread, sehemu hii inaweza ikaonekana ni ya kawaida kwa watu ambao siyo football fans, but believe me hakuna kitu kizuri kama kuwa na sehemu ambayo unakutana na fans wenzako kujadili ishu za club kwa uhuru zaidi, watu wengi hutumia sehemu hii kama kurefresh their minds na kuijua club yao kiundani na pia i'm 100% kuwa umeongeza a lot of reds kwenye family kwasababu ya posts zako.
na pia kuna a lot of LFC supporters ambao haipiti siku bila kuchungulia humu na kuangalia what is going on, bila kuchangia chochote, na wala siyo muhimu kuchangia chochote kwasababu ni choice yao, but these people are so important pia kwenye base ya LFC, because wanasupport club kwa namna yao, but siku wakiamua kuchangia humu au kuraise their opinions wataambiwa kuwa ni wavamiaji, so what about those good reds waliokuwepo tangu thread inaazishwa mwaka 2009? tena iliazishwa kipind ambacho club ipo kwenye huge downfall, but they stayed strong mpaka sasa thread ipo, so siku wakiamua kuraise their opinions nao wataitwa wavamiaji? kwa kuwa tu kuna watu wanapost humu kila siku? kila mtu ana choice ya maisha, kuingia tu na kusoma kinachoendelea humu nao ni mchango mkubwa tu, we need to ditch this mentality, this is a football thread, it shouldnt have limits as far as opinions about the club are concerned.
and people wanachanganya kati ya "Hate na Criticism", hate ni pale mtu anapotumia nguvu zake kujaribu ku-downplay mafanikio ya mtu mwingine, and Criticim ni kitendo cha kuspot holes/left-overs/mistakes na kuzijadili kwa jicho la tatu. sasa as a football fan i cant hate the club i support because i want my club to succeed, but i can criticise my club kwa mistakes ambazo naziona kwa muda wote ambao nimekuwa nikiisupport club. mfano mdogo tu kwa kipindi chote ambacho nimekuwa nikifuatilia mpira, kusoma na kuchambua uimara wa wachezaji kwa position, nimeona kuwa team ina weakness kubwa kwenye midfield and i'm free to say it, i dont need any justification from anybody because i'm entitled to my opinion, jana usiku kwenye BT sport wakati wa game yetu na Porto, kwenye pannel ya punditry alikuwepo SG, Rio na Lampard, ambapo SG admitted kuwa Henderson is not good enough as a "holding midfielder" and we really need another complete holding midfielder" that was SG, a man who recommended Henderson for the captaincy. here SG is not hating on Henderson, ameona tu ana weaknesses ambazo a complete holding midfielder hana. alichoongea jana SG ndiyo ambacho tumekuwa tukikiongea humu kwa muda mrefu, i mean nobody is hating on Henderson, jamaa amechagua mpira kama kazi ya kuilisha familia yake but the truth is the team need a better holding midfielder. but ukisema haya unaonekana kama unajua zaidi ya Klopp, i mean how can i know more than Klopp? the man is managing one of the biggest club in the world. i'm just trying to share my views and opinions kama shabiki wa mpira na mtu ambaye naifuatilia club kwa ukaribu and yes naijua sana hii club and i'm proud of that because its every fan dream kuijua club anayoishabikia kwa undani.
You know, SG is my favourite player na nakumbuka kipindi kile alivyoslip kwenye game ya chelsea, na kuwa na msimu mbovu wa 2013/14, a lot of reds turned their backs on him, humu nakumbuka alikuwepo
Janjaweed, man, kila nilipokuwa nasoma posts zake kuhusu SG nilikuwa natamani kulia, the way he was bashing SG, it was unbelievable, but it was never personal because alikuwa anashare his opinions and frustrations na siyo kwamba alikuwa anamchukia SG no, alikuwa anaona a lot of weaknesses kwenye game ya SG kwasababu ya umri na he was calling for him to be replaced, and thats football, we have to agree to disagree, kila mtu ana reaction yake baada ya defeats au failures. so the best way is to let them be. We dont need to be selfish and get personal about other's opinions.