Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sadio Mane recorded his first hat trick in CL tournament
0-5
Liverpool sasa tunasubiri nani opponent wetu robo final
Klopp OUT
Klopp OUT
Upuuzi mtupu
 
Napendekeza VVD apangwe HB six. Anakaba vizuri na analong pass pia anakwenda mbele hadi 18 ya adui. Mzuri kwa headers. ( mwl kashasha nipo
 
Hongera Tumeshinda 5 - 0
Lakini Hili Halinitii Upofu Hata Kidogo Wa Kuwa Niamini Timu yetu Haina Matatizo!
Timu inamatatizo Mengi ambayo Kwa Halo Yoyote hile [HASHTAG]#Klopp[/HASHTAG] na [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] wanapaswa Wayarekebishe Kwa ajili ya Next Season!

Mimi Siumizwi na Champion League Kwasababu Liverpool inaexperience ya Kufanya Vizuri Hata Kama ina Timu ya Kawaida tu Kama alivyofanya Benitez! Kinachoniuma na Kumlilia Klopo na FSG Ni EPL ambayo Ndiyo Kombe Pekee Mshabiki Wa Liverpool analolilia.

Na Ndiyomana Sote tunaomkosoa Klopp Huwa Hatujadili Champion League Kwasababu tunajua Kuwa Mfumo Wa Liverpool Timu za Nje ya Uengereza Zitasumbuka Sana.

Tatizo Ni EPL ambayo Honestly nitaendelea Kumlilia Klopp.
 
Hata Hivyo Wakuu Leo Nimehuzunika Sana Kuikosa Game Yetu Kwani Home Nimekutana na Walioanza Kupenda Mpira 2013 wameforce Kueka Chanel ya Kutazama Mpira Wa Hile Timu ya [HASHTAG]#NdondoCup[/HASHTAG] (PSG) na [HASHTAG]#Real[/HASHTAG].
 
Hata Hivyo Wakuu Leo Nimehuzunika Sana Kuikosa Game Yetu Kwani Home Nimekutana na Walioanza Kupenda Mpira 2013 wameforce Kueka Chanel ya Kutazama Mpira Wa Hile Timu ya [HASHTAG]#NdondoCup[/HASHTAG] (PSG) na [HASHTAG]#Real[/HASHTAG].

Kwahiyo Leo Nimekosa Kuona Performance ya Beki Wangu Kisiki Captain Mtarajiwa [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG]
 
27971559_2044421472502003_980940673459436951_n.png.jpg
 
liver mpaka hapa mmeishavuka hii hatua ila kitakachowakuta huko mbele ya safari ni aibu ya mwaka, ngoja tusubiri
 
liver mpaka hapa mmeishavuka hii hatua ila kitakachowakuta huko mbele ya safari ni aibu ya mwaka, ngoja tusubiri


Mutabakia Hivyo Hivyo Kwani Hata Kwenye Makundi Mulisema Hatuvuuki!
Tulipovuuka Mukasema Kwenye Mtoano (Last16) Tutatolewa na Porto!
Baada Ya Kumtandika Porto sasa Munazungumzia Hatua Nyengine!

Ni sawa na 2005 Tulipomfunga Juventus, Mukatwambia Kwa Bayern Hatutoki!
Tulipomfunga Bayern Mukatwambia Kwa Chelsea hatutoki!
Tulipomfunga Chelsea Mukatwambia Kwa AC Milan hatutoki!
Hatimae Tukamfunga AC Milan na Tukabeba Kombe.

Kwahiyo na Mara hii Mumeshaanza na Mapema Sera Zenu.
 
thumb_58088_siteuploads_sitelargeimage.jpeg



Kuna Kipindi Niliwahi Kuzungumza Hapa Kuwa Joel Matip Kiwango Ninakiona Kimeshuka na Haperform Vizuri! Kuna Jamaa alinibishia hapa!

Sasa nadhani Hata Jürgen Klopp ameshaligundua hilo na Ndiyomana Mechi Muhimu Kama Ya Jana Ameekwa Benchi na Lovren ameanza.

Kwa Kweli Matip Anahitajika Aongeze bidii ili arudi Katika fomu, Vinginevyo atajikitia anatafutiwa Mbadala wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom