Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kikosi cha kawaida ila sasa shughuli yake porto anaijua #YNWA# hatumuogopi yeyote
 
Champions League knockout win, equalling Bayern Munich's 5-0 win at Sporting Lisbon in February 2009 and Real Madrid's at Schalke in February 2014

• Kufungwa goli 5 na Liverpool kumeifanya Porto Kuwa Ndiyo mara yake ya Kwanza Katika Historia Ya Timu Hiyo Kufungwa Zaidi Ya Goli 3 kwenye uwanja wake Wa Nyumbani Katika Mashindano ya Ulaya.

• Liverpool imekuwa Timu Ya Kwanza Kwa Timu za Kiingereza Kushinda Magoli Matano Ugenini Kwenye Champions League knockout match.

•Mohamed Salah awa Mchezaji Wa Kwanza wa Liverpool Kufunga Magoli 30 kwa Mashindani Yote Tokea Alipofanya Luis Suarez (31) Msimu wa 2013-14.

• Mo Salah Sasa Amefunga Katika Mechi 5 mfululizo Kwa Mashindano yote, Ni Mchezaji Wa Kwanza Wa Liverpool Kufanya hivi tokea Alipofanya Divock Origi December 2016.

• Trent Alexander-Arnold awa mchezaji wa Kwanza Wa Liverpool Kucheza Hatua ya Mtoano ya Champion League akiwa na Umri mdogo zaidi wa miaka 19 na siku 130.

• Alexander-Arnold ni Mchezaji Wa [HASHTAG]#Tano[/HASHTAG] Wa Kiengereza Kucheza Hatua ya Mtoano ya [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] akiwa na Umri mdogo Zaidi Nyuma ya Kina Theo Walcott, Alex Oxlade-Chamberlain, Jack Wilshere and Wayne Rooney.

• Liverpool Msimu huu wa 2017/18 imeshinda Michezo [HASHTAG]#Minne[/HASHTAG] Kwa Magoli [HASHTAG]#Matano[/HASHTAG] au [HASHTAG]#Zaidi[/HASHTAG] kwenye Mashindano yote, Hii ni Mara Ya Kwanza tokea ilipofanya Msimu wa 1985-86 season.
 
WOW WOW WOW WOW!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

what a professional performance!!!!

Everything got executed perfectly, good game management from Klopp and his technical bench.

5-0 against Porto (a very good side) kwenye moja ya kiwanja kigumu sana Europe and we made them look so average.

and this was a knockout stage man, KNOCKOUT STAGE for God's sake!!!!

CL tournament is a competition of chances and we damn right took our chances.

on to the LAST 8.
 
Sadio Andika Rekodi ya Kuwa Ni Mchezaji Wa Pili Katika Historia Ya Liverpool Kufunga Hat-Trik Ugenini Katika Mashindano Ya Ulaya badal ya Michael Owen aliyefunga hat-tricks at Haka in 2001 na Spartak Moscow in 2002.
 
I'M SO HAPPY FOR SADIO..

he's been having a diffucult season so far.

i remember Kirsten Walsh aliandika article ambayo ilikuwa inaponda Perfomance ya Mane this season na kusahau kuwa he had a major injury mwanzoni mwa msimu, and ukiachana na bad form aliyokuwa nayo bado alikuwa akiendelea kufunga na kuassist.

i believe, hat-trick ya jana itarudisha his peak confidence na kitu kizuri ni kwamba anarudi kwenye form katika kipindi kizuri sana, tupo katika important moments za Top four race and into the last 8. he needed this na pia Liverpool fans needed this from him.

Happy for my African brother.
 
Huu Ushindi Wa Goli 5 kwa bila Usije Mkampa Upofu Klopp na akajiona ana Timu ya Ushindani akaishia Kuto Sajili!
• Milner umri unazidi Kwenda
• Hendo hatabiriki ingawa kiuhalisia hatufai
• Emre Can Dilemma
• Mo Salah hana Back up Yoyote in case of injury.

So, marekebisho ya Kikosi Ni Lazima yawepo kwa ajili ya Kutengeneza Timu ya Ushindani.
 
And Lets talk about my main man and my 3rd favorite LFC player after SG and Agger, ROBERTO FIRMINO, so so so happy for him..

this is his first Champions League competition in senior level (FIRST), and he's already scored 7 goals, reaching SG's record ya mwaka 2008/09 ya kuifungia Club goals nyingi katika msimu mmoja wa CL. Gerrard scored 7 goals that season.

Bobby has 7 goals now, and its only getting better.

i love this mad bastard, even when Rodgers tried to ruin his career by playing him as a LWB, he never complained and kept playing with a huge smile, and now Klopp is unleashing him to the fullest and my main man is really up to the task.

ROBERTO FIRMINO BARBOSA DE OLIVEIRA.
 
Hii gemu ilikuwa inanipa homa sana, lakini vijana wameifanya ionekane simple sana!
 
Huu Ushindi Wa Goli 5 kwa bila Usije Mkampa Upofu Klopp na akajiona ana Timu ya Ushindani akaishia Kuto Sajili!
• Milner umri unazidi Kwenda
• Hendo hatabiriki ingawa kiuhalisia hatufai
• Emre Can Dilemma
• Mo Salah hana Back up Yoyote in case of injury.

So, marekebisho ya Kikosi Ni Lazima yawepo kwa ajili ya Kutengeneza Timu ya Ushindani.

Lets enjoy the moment my brother.

i said in my previous posts that Klopp is punching this squad above its weight.

we have already got Keita.

and you know Klopp is opting for Pulisic, another midfielder and a young CB in the summer.

jana usiku before the game SG hinted about Emre Can leaving in the summer, i dont know if its true but kama ni kweli ishu ya RC itakuwa ndiyo kikwazo, ni mchezaji mmoja tu pale LFC ndiyo ana RC ambaye ni Firmino na Club inafanya kila inachoweza kuhakikisha inambakisha for a long long long time. Firmino is Klopp's favorite player ni mchezaji ambaye Klopp ameishape attack around him so if FSG wakimuuza huyu jamaa Klopp will walk, kama alivyo-walk Dortmund baada ya Zorc kusunction sale ya Gotze to Bayern (klopp huwa anasema Gotze ni mchezaji bora kwake kuliko wote aliowahi kuwafundisha) and now he has Firmino at LFC na recent quotes za Klopp kuhusu Firmino zinaonesha kabisa kuwa he's not letting him go anytime soon.
 
Hii gemu ilikuwa inanipa homa sana, lakini vijana wameifanya ionekane simple sana!

recent record ya Porto kwao ndiyo ilikuwa inaleta homa.

but records are meant to be broken and you can bet your house on LFC breaking those records.

we are masters when it comes to "Kuvunja records"

professional performance y'day. couldn't ask for more.

hope you enjoyed it too..
 
kulikuwa na doubts nyingi sana kuhusu bei ya VVD, but kitu ambacho kilinifanya nisiwe na doubts kabisa kuhusu bei ya VVD, siyo qualities zake tu bali you have to ask youself how on earth is Klopp spending that big chunk kwa mchezaji? kwasababu ni nadra sana kwa Klopp kufanya hivyo, but we all know Klopp huwa anaspend big pale anapohitajika kufanya hivyo, so sikuwa na wasiwasi kabisa kuhusu hilo.

and now VVD, has plugged a huge hole in our back line na kwenye base ya midfield, yaani he's playing like a CB na wakati huo huo kama extra number 6. what a leader, what a baller..

i remember mak89 saying we are lacking a leader at the back, well we have VVD now, he's making everything tick at the back whilst organizing the backline so well, inasaidia kumfanya kila mtu kuwa comfortable at the back.

worth every single Penny.
 
thought Gini was our best midfield y'day, was up for it. considering it was away from Anfield, maana huwa anaperform mara chache sana akiwa away, but these last two games amestep up vizuri sana, was on point kwa kila kitu.

Again, another important player getting his form back kwenye very crucial moments of the season.

we needed this.
 
Lets enjoy the moment my brother.

i said in my previous posts that Klopp is punching this squad above its weight.

we have already got Keita.

and you know Klopp is opting for Pulisic, another midfielder and a young CB in the summer.

jana usiku before the game SG hinted about Emre Can leaving in the summer, i dont know if its true but kama ni kweli ishu ya RC itakuwa ndiyo kikwazo, ni mchezaji mmoja tu pale LFC ndiyo ana RC ambaye ni Firmino na Club inafanya kila inachoweza kuhakikisha inambakisha for a long long long time. Firmino is Klopp's favorite player ni mchezaji ambaye Klopp ameishape attack around him so if FSG wakimuuza huyu jamaa Klopp will walk, kama alivyo-walk Dortmund baada ya Zorc kusunction sale ya Gotze to Bayern (klopp huwa anasema Gotze ni mchezaji bora kwake kuliko wote aliowahi kuwafundisha) and now he has Firmino at LFC na recent quotes za Klopp kuhusu Firmino zinaonesha kabisa kuwa he's not letting him go anytime soon.
what is RC
 
Sadio Andika Rekodi ya Kuwa Ni Mchezaji Wa Pili Katika Historia Ya Liverpool Kufunga Hat-Trik Ugenini Katika Mashindano Ya Ulaya badal ya Michael Owen aliyefunga hat-tricks at Haka in 2001 na Spartak Moscow in 2002.

so happy for my boy
 
huyu dogo Alexander-Anold anakuja vizuri Sana,

VVD beki ghali zaidi duniani naomba kama tumewaibia 2 soton maana wote wanaenda mbele nyuma unabaki pekee yako

Loris karius hizo bhangi unazovuta zimekupenda endelea ivyo ivyo

S.F.M (SALAH, MANE NA FERMINO) sina neno kwenu
 
tutacheza na Utd at Trafford siku nne baada ya game yetu na Porto (2nd leg). think we'll be flesh kabisa kwasababu most of our important players will be rested.

now we have got West ham and Watford coming up, win those two, and chances of getting TOP 4 are 90%

before game ya Swansea tulikuwa tunahitaji kuhinda games 7 kudraw games 3, ili kucement our place in top four.

now we need minimum 5 wins and 2-3 draws to be comfortable thought next two wins will confirm our status in the Top four.

think the race for 2nd, 3rd and 4th position will go down untill the last game of the season, and thats what the EPL is made of.
 
huyu dogo Alexander-Anold anakuja vizuri Sana,

VVD beki ghali zaidi duniani naomba kama tumewaibia 2 soton maana wote wanaenda mbele nyuma unabaki pekee yako

Loris karius hizo bhangi unazovuta zimekupenda endelea ivyo ivyo

S.F.M (SALAH, MANE NA FERMINO) sina neno kwenu

Trent is only 19 my GOD..

funny part is, his natural position ni Central Midfielder.

Karius is and will always be a Top class GK, you just cant be voted as a 2nd best GK in Bundesliga if you're average.

he just needed good runs of games to get his confidence back.

always backed him, because i knew he was a good GK and on top of that i trusted Buvac judgement.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom