Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ENJOY THIS PIECE OF MASTERCLASS FROM FIRMINO.

and please dont forget to subscribe kwenye hii channel, this person is top class when it comes to good compilations. he's just good. go and show him support for giving out these good comps.

enjoy

For those who don't have LFCTV, hope this will help a bit.

no need to pay money to watch these kind of stuffs now, kwasasa LFC wanarelease contents za LFCTV on youtube, kama vile "At home with.." which is always a good show.

so you can check on LFC youtube channel to watch these shows for free.

hii ilikuwa at home with Mane, recently they have released at home with Karius.

dont forget to subscribe kwenye Club's channel.

kulikuwa na doubts nyingi sana kuhusu bei ya VVD, but kitu ambacho kilinifanya nisiwe na doubts kabisa kuhusu bei ya VVD, siyo qualities zake tu bali you have to ask youself how on earth is Klopp spending that big chunk kwa mchezaji? kwasababu ni nadra sana kwa Klopp kufanya hivyo, but we all know Klopp huwa anaspend big pale anapohitajika kufanya hivyo, so sikuwa na wasiwasi kabisa kuhusu hilo.

and now VVD, has plugged a huge hole in our back line na kwenye base ya midfield, yaani he's playing like a CB na wakati huo huo kama extra number 6. what a leader, what a baller..

i remember mak89 saying we are lacking a leader at the back, well we have VVD now, he's making everything tick at the back whilst organizing the backline so well, inasaidia kumfanya kila mtu kuwa comfortable at the back.

worth every single Penny.
if you have noticed since the arrival of VVD Lovren career has been rejuvenated he has had classic performance he is not making silly mistakes.

Our defense is still fragile but there is huge improvements.

Firmino is the centre of everything in our attack prowess his movements at the opponent defense is superb.

Mane performance imekuwa nzuri in recent games akiwa fully fit we may finish second kwenye ligi.

Karius what a u-turn performance. kuna siku nilipost picha ya mtu humu ndani our goal keeping coach tangu amekuwa kocha pale we have had poor performance from our goalkeepers. Remember Brad Jones!???? baada ya kuondoka liverpool amekuwa na performance nzuri sana. Goal keeping error zimeanza tanga 2010 which led to the sucking of benitez there after our defense has been leaking goals.

Sasa tujipange we may be surprise package to clinch the CL trophy
 
Attachments

  • Screenshot_20180128-004235.png
    Screenshot_20180128-004235.png
    115.9 KB · Views: 46
  • Screenshot_20180128-005238.png
    Screenshot_20180128-005238.png
    40 KB · Views: 46
if you have noticed since the arrival of VVD Lovren career has been rejuvenated he has had classic performance he is not making silly mistakes.

Our defense is still fragile but there is huge improvements.

Firmino is the centre of everything in our attack prowess his movements at the opponent defense is superb.

Mane performance imekuwa nzuri in recent games akiwa fully fit we may finish second kwenye ligi.

Karius what a u-turn performance. kuna siku nilipost picha ya mtu humu ndani our goal keeping coach tangu amekuwa kocha pale we have had poor performance from our goalkeepers. Remember Brad Jones!???? baada ya kuondoka liverpool amekuwa na performance nzuri sana. Goal keeping error zimeanza tanga 2010 which led to the sucking of benitez there after our defense has been leaking goals.

Sasa tujipange we may be surprise package to clinch the CL trophy

always looking up for your analytical insights about football, you're such an insiprational.

that was a short and a very good comments about our team development.

was waiting for your comments on Lovren, ulishawahi kusema in your previous posts kuwa Lovren/Matip need a leader pembeni yao, and its clearly getting proven right now. though i think Klopp is doing a good job looking for another young CB.

so spot on about Firmino man and rightful Mane getting his form back katika kipindi kizuri sana cha msimu. major boost.

lol you're so right about our goal keeping coach, he's been a huge problem kwenye upande wa keeper, but reports za chini ya carpet zinasema kuwa the Club have hired a "Goalkeeping Consultant", Hans Leitert. think Club ishajua mzizi wa tatizo upo wapi. hope suala hili litaimarisha goalkeeping department.
 
mkuu Malafyale, hipe you had a blast last night hahahahahha your zeal never fades.

Robertson has cemented his place in first eleven with zealous performance ila crossing he must work on it.

Janjaweed , Asprin Mr. Wise , magnifico, Nzi our nausea friend
 
What a massive play from our side jana!!
Kama mnakumbuka before the game ya UEFA... i gave opinions kwamba its better klopp amwanzishe Robertson + TAA kuliko Gomes na Moreno.. and this is what happened..

Robertson akafunika left side kias kwamba i thought fc Porto hawana wings..

Gino playee very well.. He mastered the mid!!

Kuhusu our front three am speechless.(Kil wakianza kwenda mbele na mpira all you can feel is high like MJ)

Kitu kingine kuhus klopp he played the subs very well!! kama umegundua game nyingi tim zilizorudisha magol ni baada ya kupunguza pace kule mbele hasa akimtoa salah.. But jana he played smart!!

All in all.. wachezaji wote played very well..
FC Porto still hawaamini what happened
 
Kiongozi ndo naamka. Vijana walinimalizia valentine day yangu kwa furaha ya ajabu .... zile castle lager zinisamehe tu maana hayakuwa mapenzi yangu.

Mkimuona Mane mwambieni aje nimzawadie mchepuko wangu.... ntagharamia mimi
 
Hongera Tumeshinda 5 - 0
Lakini Hili Halinitii Upofu Hata Kidogo Wa Kuwa Niamini Timu yetu Haina Matatizo!
Timu inamatatizo Mengi ambayo Kwa Halo Yoyote hile [HASHTAG]#Klopp[/HASHTAG] na [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] wanapaswa Wayarekebishe Kwa ajili ya Next Season!

Mimi Siumizwi na Champion League Kwasababu Liverpool inaexperience ya Kufanya Vizuri Hata Kama ina Timu ya Kawaida tu Kama alivyofanya Benitez! Kinachoniuma na Kumlilia Klopo na FSG Ni EPL ambayo Ndiyo Kombe Pekee Mshabiki Wa Liverpool analolilia.

Na Ndiyomana Sote tunaomkosoa Klopp Huwa Hatujadili Champion League Kwasababu tunajua Kuwa Mfumo Wa Liverpool Timu za Nje ya Uengereza Zitasumbuka Sana.

Tatizo Ni EPL ambayo Honestly nitaendelea Kumlilia Klopp.

Mkuu usibabaishwe na wachambuzi hapa ambao wakija hapa wana discredit sisi tunao kaa hapa kila siku!
Kaa fikiria hivi:
Pep ali rithi team nzuri sana lkn akakosa kombe lolote mwaka wa kwanza na ndiyo sababu akaleta watu wanne anachukua ubingwa!Pep alimkuta Silva,Otamendi,Stones,Raheem,Aguero pia akaja Sane na De Bry
Klopp alirithi team ya ajabu mno,beki wa kati Kolo Toure na mbele ni Origi! Pembeni ni Milner na Sturrigde akiumia na sisi tunaumwa!
Mwaka huu ndiyo kabadiri team na kipa anatazamia kama Karius atazingua au la!
Mwakani EPL tuna nafasi kubwa sana,mwaka huu CL hao wanao wasifia Barca au Madrid au PSG definitely hawataki onana na Liverpool
 
What a massive play from our side jana!!
Kama mnakumbuka before the game ya UEFA... i gave opinions kwamba its better klopp amwanzishe Robertson + TAA kuliko Gomes na Moreno.. and this is what happened..

Robertson akafunika left side kias kwamba i thought fc Porto hawana wings..

Gino playee very well.. He mastered the mid!!

Kuhusu our front three am speechless.(Kil wakianza kwenda mbele na mpira all you can feel is high like MJ)

Kitu kingine kuhus klopp he played the subs very well!! kama umegundua game nyingi tim zilizorudisha magol ni baada ya kupunguza pace kule mbele hasa akimtoa salah.. But jana he played smart!!

All in all.. wachezaji wote played very well..
FC Porto still hawaamini what happened

Upo sahihi! In fact Robo Kwa Sasa it is very sin kumueka awarm bench kwa kumuanzisha Albie! Na I don't a reason kupewa Gomez priority Kwenye RB wakati TAA is very talented compared to Gomez..

Kwa VVD sina cha kuongea...
Kwa SFM naona miujiza tu na maajabu wanayoyafanya Mpaka siamini.

Kwa Kipa anaanza Kuadapt hatua kwa Hatua...

Kwa Mids za kati Hendo-Gini-Milly Jana zimecheza Vizuri (no comment) but hazina Consistency kiasi ya Kwamba huwezi jua kesho itakuaje...

Kwa Mida za kati Ni Can peke Yake Ndiye Mwenye Consistency...

Only Keita-Can-Hendo Ndiyo Watakuja Kujenga Consistency...

Wow! Some progress
 
Mkuu usibabaishwe na wachambuzi hapa ambao wakija hapa wana discredit sisi tunao kaa hapa kila siku!
Kaa fikiria hivi:
Pep ali rithi team nzuri sana lkn akakosa kombe lolote mwaka wa kwanza na ndiyo sababu akaleta watu wanne anachukua ubingwa!Pep alimkuta Silva,Otamendi,Stones,Raheem,Aguero pia akaja Sane na De Bry
Klopp alirithi team ya ajabu mno,beki wa kati Kolo Toure na mbele ni Origi! Pembeni ni Milner na Sturrigde akiumia na sisi tunaumwa!
Mwaka huu ndiyo kabadiri team na kipa anatazamia kama Karius atazingua au la!
Mwakani EPL tuna nafasi kubwa sana,mwaka huu CL hao wanao wasifia Barca au Madrid au PSG definitely hawataki onana na Liverpool

Hichi ulichokiandika Hichi ndiyo tunachokiwaza Sote hapa lakini ulichelewa kukiwakilisha.

Nashukuru Kuwa umeshaweka Weka wazi sasa nadhani Hatutovutana tena.

Tulichokuwa tukikosoa Ni hicho ulichokitaja Kuwa Klopp alirithi Kikosi Kibovu Tokea 2015 cha kina Sturbridge, Origi, Beki ya Lovren na Klavan, Moreno, Mignolet Ndani ya Misimu miwili aligoma Kukibadilisha. Kwahiyo Hapa tuliona Kama alisaliti matarajio yetu tukahisi Ni bora tu na yeye aondoke.

Lakini Msimu Huu alipomnunua Keita, Robertson na Mo Sala tukajenga Matumaini, ila tulimlaumu Kwanini Beki Hakuifanyia Marekebisho Hata Kidogo? Kwahiyo tukampiga Madongo tena. Kwani Waliendelea Kutufungisha Mechi Muhimu sana.

Lakini baada ya Kuumia Moreno na Kucheza Robertson halafu akaja na [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] basi kama unapeleleza Hatumkosoi tena Klopp Kuhusu Ulinzi.

Kwahiyo Mkuu sisi usitutafsiri Kuwa Tunamchukia Klopp na Kuona Sio Kocha! Hapana! Tunaamini Ni Kocha Mzuri na Ni Sahihi Kwa Liverpool, ila tulitofautiana na Kwa Sera zake.

Kwahiyo naamini na Wewe pia ulikuwa unayaona matatizo ya Liverpool lakini ulishindwa tu Kuyasemea.

Kwahiyo mkuu kumlaumu Klopp usione tunakosea Kwani nayeye anakosea kama wanadamu wengine.

Kwa sasa tunaungana na Wewe Kumsifu Klopp Kwani anatufanyia kile tunachotaka na tulichomwajiria.
 
Mkuu usibabaishwe na wachambuzi hapa ambao wakija hapa wana discredit sisi tunao kaa hapa kila siku!
Kaa fikiria hivi:
Pep ali rithi team nzuri sana lkn akakosa kombe lolote mwaka wa kwanza na ndiyo sababu akaleta watu wanne anachukua ubingwa!Pep alimkuta Silva,Otamendi,Stones,Raheem,Aguero pia akaja Sane na De Bry
Klopp alirithi team ya ajabu mno,beki wa kati Kolo Toure na mbele ni Origi! Pembeni ni Milner na Sturrigde akiumia na sisi tunaumwa!
Mwaka huu ndiyo kabadiri team na kipa anatazamia kama Karius atazingua au la!
Mwakani EPL tuna nafasi kubwa sana,mwaka huu CL hao wanao wasifia Barca au Madrid au PSG definitely hawataki onana na Liverpool

Hata hivyo Mkuu Malafyale unajua Kwanini nilisema Timu yetu inahitaji marekebisho?

Jibu Ni Kwamba wachezaji wetu Mo Salah, Keita, Mane Ni Waafrika na Mwakani Kuna CHAN! Sasa hapa Tusiposajili Kuongeza Depth tutakuja Kimbiana hapa Wakijakuondoka.

Kwahiyo Klopp aliangazie na mapema hili.
 
IMG_6979.JPG

Bado tumuache kwenye team?
Akina De Bruyne sijui akina Isco sijui akina Marchisio sijui akina Messi HAWAMFIKII huyu bingwa kwenye assists!
Viva Klopp Viva
The most freely scoring team in Yurop
Milner anaongoza kwa assists
 
043455ddb4b438a7c7e84c9448cda607.jpg

Milner wa Liverpool ndiyo mchezaji mwenye assists nyingi zaidi UCL
Kweli tumuache mchezaji kama huyu?
 
mkuu Malafyale, hipe you had a blast last night hahahahahha your zeal never fades.

Robertson has cemented his place in first eleven with zealous performance ila crossing he must work on it.

Janjaweed , Asprin Mr. Wise , magnifico, Nzi our nausea friend
Mkuu....dah kwema?Nadhani tujiandae kuikabiri robo final tu, zile kelelele za Anfield Porto hapindui. Front three imenipa furaha sana jana. Milner utu uzima dawa aisee alafu katikati ya uwanja kulikua kwetu hapo ndipo tulipomaliza game
 
3443728.jpg

Steven Gerrard believes Liverpool's current attack has a better blend than the Luis Suarez-inspired forward line of 2014.

• In the 2013-14, Suarez, Daniel Sturridge and Raheem Sterling netted 65 goals between them.

• Sadio Mane, Roberto Firmino and Mohamed Salah have now scored 63 goals together this season while the season is not over.
 
Mkuu Hapana! Uwezo Wa Timu na Kushinda au Kuto Kushinda ni Vitu Viwili Tofauti.

• Kwamfano Kuwa na Wachezaji Wazuri Ndiyo Kuto Kufungwa! Basi Tusingefungwa na West Bromwich Albion Coz tuna Tuna Mo Sala, Firmino na VVD.

• Na vilevile Newcastle asingeifunga Man United yenye Pogba, Lukaku na Matic.

Kwahiyo Sisemi Kuwa lazima Tutamfunga Barcelona! Lakini Pia Tunaweza Kumfunga Barcelona au Timu Nyengine Yoyote Hile Bila ya Muujiza Wowote hule Hata Kama Barcelona ana Wachezaji Wazuri Kuliko sisi.

As long as Liverpool Nje ya [HASHTAG]#Uingereza[/HASHTAG] basi Naiamini Kucheza na Kuweza Kuifunga Timu yoyote hile.
Lakini Ndani Ya [HASHTAG]#Uingereza[/HASHTAG] Basi Siamini Hata inapocheza na Leeds United kuwa itashinda.
Huwa nakuelewa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom