Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Angalau safu yetu ya ulinzi inaenda ikiimarika siku hadi siku [HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
Liverpool anaweza mfunga yyt na popote pale!
Soton kakaa kwake easy tu
Sasa ni Porto
 
VVD hela yetu hatujapoteza!VVD kafanya hata keeper awe anajipanga vyema
 
Liverpool anaweza mfunga yyt na popote pale!
Soton kakaa kwake easy tu
Sasa ni Porto
Tatizo linakuja wanashinda ila kila wakiongeza spidi, kuna jamaa mbele ana spidi zaidi yao, hii ni kila msimu liver inapo improve.
Nategemea msimu ujao watakuwa washindani angalau wa Mancity, naamini Mancity watakuwa ktk ligi ya kwao wenyewe msimu ujao, liver watapambana angalau bingwa apatikane mwezi wa nne.
 
Kwa hiyo akina Arsenal, Chelshit an Manure msimu ujao umeshawahukumu?
 
Sadio Mane asipojiangalia tena upya basi ajiandae Kisaikolojia Kupotea!
Yani Kapoteza form kabisa na hana Confidence tena.
 
Bobby tokea Mechi Na Spurs pamoja na hii ya leo naona Naye hayuko katika form
 
Tatizo linakuja wanashinda ila kila wakiongeza spidi, kuna jamaa mbele ana spidi zaidi yao, hii ni kila msimu liver inapo improve.
Nategemea msimu ujao watakuwa washindani angalau wa Mancity, naamini Mancity watakuwa ktk ligi ya kwao wenyewe msimu ujao, liver watapambana angalau bingwa apatikane mwezi wa nne.
Nadhani wewe ni mgeni wa EPL
Anacho fanya Pep leo alifanya Mourihno 2004 huko tena misimu miwili LKN akaja dhibitiwa plays zake!
Pep kaisha anza dhibitiwa na ukiona games za hivi karibuni hana mbinu mpya ukimdhibiti De Bruyne na Silva!
Klopp anajenga team na mwakani mbele ya VVD anacheza mnyama Keita na kipa huyu huyu Karius!
EPL itawaka moto mwakani!
 
King Ngwaba nipe matokeo mkuu ndo narudi toka mahangaikoni.

Ilistahili iwe 7-2
Tuliichukua mechi kipindi chote cha pili!
Mane na Salah na Fimo wamepoteza bao za wazi nyingi sana
Klopp ni kocha sahihi kwa Liverpool na anatupeleka Kaanan
Ni suala la muda tu!
 
Nadhani wewe ni mgeni wa EPL
Anacho fanya Pep leo alifanya Mourihno 2004 huko tena misimu miwili LKN akaja dhibitiwa plays zake!
Pep kaisha anza dhibitiwa na ukiona games za hivi karibuni hana mbinu mpya ukimdhibiti De Bruyne na Silva!
Klopp anajenga team na mwakani mbele ya VVD anacheza mnyama Keita na kipa huyu huyu Karius!
EPL itawaka moto mwakani!
Haka kamsemo kwa "mwakani" mnakapenda sana huko kwenu
 
Nadhani wewe ni mgeni wa EPL
Anacho fanya Pep leo alifanya Mourihno 2004 huko tena misimu miwili LKN akaja dhibitiwa plays zake!
Pep kaisha anza dhibitiwa na ukiona games za hivi karibuni hana mbinu mpya ukimdhibiti De Bruyne na Silva!
Klopp anajenga team na mwakani mbele ya VVD anacheza mnyama Keita na kipa huyu huyu Karius!
EPL itawaka moto mwakani!
Kiukweli naiona Liver mwakani ikiwa timu itakayokuwa vizuri. Upande wa defense VVD kamaliza utata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom