New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,573
game hii imekuwa na mvuto kuliko psg na madrid
Bado hujaielewa tu?Hii line up yenu leo hapo katikati sijaielewa kidogo,
Kwenye champions league ni kawaida yetu...Aise liverpool mnaua mtu huko.....![]()
Ball control aliyoinyesha Mo Salah is out of this world! Super goal.Salahhhhhh
2-0
Kisha waje hapa hao wanao ijua Liverpool kuliko Klopp na analysis zao mbuzi za kutajana majina kama hawa ndiyo wanajua kuichanbua Liverpool hapa
Asante chief, ushindi tunaupata ila kichwa cha Klopp kitulie mana akili yake Mungu tu anaijuaHalf time. Porto 0-2 Liverpool
Ushindi upo. Tena mnono. Tungekuwa makini tungekuwa tunaongoza goal 3 mpaka sasa.
Btw timu imecheza vizuri.
Kaka acha mambo ya kitoto mipasho mipasho ya niniLiverpool all Fab 3 scored!
Klopp OUT
Klopp OUT
Klopp OUT