Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Clyne named in Liverpool's travelling squad to face Porto.
Hi VVD hile style anayocheza Ni Mbinu ya Klopp au Ni Ujuzi wake mwenyewe? 😀 😀 😀
Yani Wakicheza Matip na Lovren Unawakutia Wote Wawili Wanakuwa in the Same lane, tofauti yao Ni Kuwa Matip anakuwa upande Wa Kulia na Lovren Kushoto!
Lakini VVD unamkutaga Wapinzani Wanapokuja Kushambulia Yeye Kajivuta Nyuma Kabisa ya Matip in case Matip na DM wamepitwa basis Yeye Anaudaka Mpira Kiubwete kabisa.
Ndio hivyo kesho hawez kuchezaIvi wakuu kesho can atacheza maana nakumbka kama iliandikwa atamiss game inayofuata
Karius
TA VVD Matip Roberto
Wilj Captain OX
Mane Firmo Salah
Porto OUT
Gomez ana tuyeyusha sana!• Hapo Kwenye TA huenda Akacheza Gomez/Clyne
• Na Hapo OX nahisi Kwaleo anaweza Akaanza Milner
Gomez ana tuyeyusha sana!
Anytime kwangu TA ni zaidi ya Gomez
Milner ni mzoefu sina pingamizi
Leo liverpool nataka niwaamini...!!sasa ole wenuu mnichaniee mukekaaa
![]()
Wakuu muko Bize na shuhuli zenu lakini Musisahau Kuwa Leo Tupo Uwanjani
Hii line up yenu leo hapo katikati sijaielewa kidogo,


