Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Quarters and Semis Revealed

Liverpool ikiwa itaitoa [HASHTAG]#FCPorto[/HASHTAG] Katika [HASHTAG]#Round16[/HASHTAG], Basi Kwenye Quarter itakutana either Manchester City or Inter.

Na ikiwa itashunda Kwenye Quarter, Basi Kwenye Semi itakutana na Mshindi Wa Michezo hii
PSG/Barcelona and Atletico Madrid/Basel.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]

Inter haipo CL
Liverpool HAIMUOGOPI yyt CL
 
P170105-102-Liverpool_Everton-e1515187908245-600x401.jpg


Firmino: “I am never happy – I always want more from myself. That will not stop until I’ve finished my playing career. I dream aloud and I want more and more from myself.”
 
Confirmed: Liverpool plan to extend the Anfield Road end in 2019, bringing the stadium capacity to 61,000.

The stadium has four stands:

1) The Spion Kop
2) The Main Stand
3) The Kenny Dalglish Stand
4) Anfield
Road

Last Season Tuliboresha Uwanja Kwa Kutanua Jukwaa la 'Main Stand'..
Na Next Season Tunaongeza Viti 6,000 Kwa Kutanua Jukwaa la 'Anfield Rod'.

Hapo yatabakia Majukwaa Mawili ya 'Keny Dalglish na Kop' ambayo Huenda Yakafanyiwa Utanuzi Baadae na Uwanja Kuweza Kubeba Mashabiki Zaidi ya 70,000+.

170916-008-Liverpool_Burnley-600x400.jpg


131026-118-Liverpool_WBA-600x400.jpg


Screen-Shot-2016-09-13-at-10.12.20-597x456.png
 
Quarters and Semis Revealed

Liverpool ikiwa itaitoa [HASHTAG]#FCPorto[/HASHTAG] Katika [HASHTAG]#Round16[/HASHTAG], Basi Kwenye Quarter itakutana either Manchester City or
FC Basel.

Na ikiwa itashunda Kwenye Quarter, Basi Kwenye Semi itakutana na Mshindi Wa Michezo hii PSG/Barcelona and Real Madrid/Basel.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
Umekosea njia nenda facebook ukawadanganye kwa hizi story
 
Hakuna team isiyo uza duniani hata Messi wakija na hela nzuri anauzika!
Neymar ambaye ndiyo alitegemewa kuwa mrithi wa Messi sababu ya umri mdogo kaondoka!
CR7 akiwa tegemeao Man United tena Man U ya Babu Fergie aliondoka
Figo aliondoka!
Then watu wanakuja na madai ya ajabu kwa nn Liverpool inauza Coutihno!Kweli ukae na mtu kama huyu kujadili soka?
Liverpool will be strong without Coutihno
 
Liver msimu huu msipoangalia top 4 hamuingii

Mark my word
Wewe nadhani ni shabiki wa manure. Mnatuzidi pwenti 4 tu, michezo bado zaidi ya 10, wewe unatutabiria kushuka daraja!?
Basi na nyie msipoangalia mwaka huu mnatwaa ubingwa!
 
1) Sisi Hatumlaumu Hendo Kwa Kuangalia eti Mechi Fulani Tumefungwa au Kudraw! Sisi Tunacholaumu Huyu Jamaa Hile uwezo hasa Wakucheza Club kama Liverpool hana. Vile vile Hana Sifa za Leadership anapokuwa uwanjani.
Kwahiyo Hata Tushinde 7, 4 au 3 haimanishi Kuwa Hendo kaboreka, Hapana! Bado atabakia Kuwa ni Mbovu tu. Huyu Next Season ni aibu Kuja Kucheza Mbele ya Keita au Can.
Mkuu, ni kweli ni haki yetu kumlaumu Hendo, lakini ni vizuri pia tukakumbuka kuwa Hendo originally ni attacking midfielder siyo defensive midfielder, ndo maana ulinzi wake ni dhaifu. Ameanza kucheza defensive just a couple yrs ago, na ukiangalia kwa ukaribu utaona huwa anacheza vizuri zaidi anapocheza attacking midfield.
Keita ambaye ni defensive originally akija, ni nzuri akisaidiwa na Can, ingawa naye anapenda sana kwenda kushambualia, ni vizuri Hendo akaingia kwenye kundi pool la attacking midfielders, hasa ukizingatia kuwa Milner will be retiring soon.
 
Mkuu, ni kweli ni haki yetu kumlaumu Hendo, lakini ni vizuri pia tukakumbuka kuwa Hendo originally ni attacking midfielder siyo defensive midfielder, ndo maana ulinzi wake ni dhaifu. Ameanza kucheza defensive just a couple yrs ago, na ukiangalia kwa ukaribu utaona huwa anacheza vizuri zaidi anapocheza attacking midfield.
Keita ambaye ni defensive originally akija, ni nzuri akisaidiwa na Can, ingawa naye anapenda sana kwenda kushambualia, ni vizuri Hendo akaingia kwenye kundi pool la attacking midfielders, hasa ukizingatia kuwa Milner will be retiring soon.

But Keita Atakapokuja Atacheza Central Midfielder (Namba 8) na Kwenye Defensive Midfielder atabakia Huyuhuyu Hendo Kama Kawaida.

Kwahiyo Ningelikuwa Mimi Ndiye Emre Can Basi Ningelihama Liverpool Kwani Sidhani Kama Can ataweza Kupangwa Mbele ya Hendo japokuwa Can ni bora Mbele ya Hendo.

Mkuu miongoni mwa Mambo yanayomuondosha Can Liverpool ni Huyu Hendo.
 
Na ukweli tusiopenda Kuuzungumza ni Kuwa Sadio Mane na Joel Matip Hawa jamaa this season wamekuwa Flop na wanacheza chini ya Kiwango kabisa Kiasi ya Kwamba ukivamia tu uwanjani unaweza hisi kuwa Hata Lovren anacheza Vizuri kuliko Matip.
 
Matip bado hajashuka kwa kiwango usemacho.

Ujue tu kua kukosea kupo mfano salah mbona hua anakosa magoli rahisi tu na anafunga magumu.

Tusikosoe mabeki wakizidiwa ujanja na washambuliaji tukawaacha washambuliaji ubinaadam uwepo pande zote
 
Matip bado hajashuka kwa kiwango usemacho.

Ujue tu kua kukosea kupo mfano salah mbona hua anakosa magoli rahisi tu na anafunga magumu.

Tusikosoe mabeki wakizidiwa ujanja na washambuliaji tukawaacha washambuliaji ubinaadam uwepo pande zote


Mkuu Sikumaanisha Kumkosoa Matip kwa Kosa alilofanya katika Mchezo wowote Hile! Bali ninaikusudia Hile overall performance Yake ambayo ninaiyona kuwa imeshuka kwa kiasi Fulani hivi.
 
Liverpool haimuogopi yyt EPL
Liverpool hainuogopi yyt CL
Next week tunampiga Porto na tunasubirj yyt ajaye
 
Leo Tupo uwanjani lakini Nahisi Leo Ndiyo Tunakutana na Mechi Ngumu Zaidi kuliko Mechi yoyote Hile kwa Msimu Wa 2017/18.

Sababu:

• Kwa Misimu ya Karibuni Soton kwa Upande wetu wamekuwa Wagumu Zaidi Katika Uwanja wao Wa Nyumbani.

• Huenda Klopp akapumzisha Wachezaji Muhimu kwa ajili ya Champion League.

• Vile vile Kutakuwa na Wakati Mgumu Kwa Beki wetu VVD kwani ni Lazima Watamzomea na Kumpa Pressure.

Hata Hivyo Naomba ushindi kwani Ndani ya Uwanja lolote lawezekana.
 
Daah mkuu King Ngwaba huwa nakukubali sana huwibias ktk uchambuzi wako, ila leo wana kop tujiandae kisaikolojia lolote linaweza kutokea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom