Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo kama naiona rotation haikwepeki. Leo n game ya kina solanke. Akina firmino wanaachwa kwaajili ya champions league
 
Leo kama naiona rotation haikwepeki. Leo n game ya kina solanke. Akina firmino wanaachwa kwaajili ya champions league

Hapana Rotation leo! Klopp kapanga Kikosi Kamili.

Line-Up
Karius
Alexander-Arnold
Matip
Van Dijk
Robertson
Can
Wijnaldum
Oxlade-Chamberlain
Mane, Salah
Firmino

Subs:
Mignolet
Lovren
Milner
Moreno
Lallana
Ings
Solanke

Hata Hivyo Nahisi hii Game itakuwa Ngumu.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
Game imekuwa nyepesi kuliko tulivyofikiria.
HT 0-2 Liverpool wanaongoza.

️ Firminho
️ Mo Salah

Dah! Ni kweli Mkuu! Kwa kweli Kwa Ninavyoijua Soton inapocheza na Liverpool basi Nilijawa na Wasiwasi sana Kuhusu Mchezo Wa leo!

Lakini Kwasasa natazamia mwisho Wa dakika 90+ manake bado sijaamini Nini kitatokea.
 
Ila Wakuu Kama Mumegundua Kitu Nikwamba Kipa Kaboreka Kidogo na ananipa Matumaini ya Kuwa Next season atakuwa ni Best Goal Keeper kwenye EPL.

Lakini ana kasoro moja Kubwa Katika Kuanzisha Mpira anaboronga.
Klopp na Kocha Wa Makipa wanapaswa Wamueke Sawa kwa Hili.
 
Na Huyu VVD naona anazidi Kunipa Amani tu!
Yani uwanjani utafikiria yeye ndiye Captain!! 😀 😀 😀

Halafu anatokea Mtu from Nowhere anamfananisha na Jones!!!!!! Dadek
 
Na Huyu VVD naona anazidi Kunipa Amani tu!
Yani uwanjani utafikiria yeye ndiye Captain!! 😀 😀 😀

Halafu anatokea Mtu from Nowhere anamfananisha na Jones!!!!!! Dadek

Mkuu sasa hivi sina tatizo na beki ,tatizo liko kwa kipa tu .ila tunaanza kuona mabadiliko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom