Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Solanke yupo vizuri sana sema wengi tunapenda tuone anafunga ila his presence as a no. 9 it drags back opponent defender tofauti anapokuwa firmino
Hivi kachangia nini leo?

Je anafikia uzuri wa Origi?
 
Matip kaingia baada ya goli la ushindi
 
Hii imeisha jamani
Mpira sometimes ni bahati
man City games na WHU,Soton,Hudd,Newcastle na jana na CP zote bahati ipo upande wao
Viva Klopp viva Liverpool
 
Naangalia game Ya watani zetu vs Everton and I must say bora hata sisi
Watani wetu timu yao ni hovyo sana na wanacheza bila malengo na soka yao iko hovyo sana yaani inahitaji moyo kuangalia
 
Tumemaliza Mwaka na Ushindi (Dhidi Ya Lesta)! Na Tumeuanza Mwaka Kwa Ushindi (Dhidi ya Burnley).....

"Mwanzo Mzuri Ni Nusu Ya Ushindi"
 
Najua mkuu ila hakustahili kutolewa kwa mkopo mana alishachangia team vizuri tu ukilinganisha na huyu kinda anae mlazimisha ache na uwezo hana bado
Huyu dogo ndio ilibidi apelekwe kwa mkopo, bado hajaiva. Kwa sasa hana kiwango cha kuwa kikosi cha kwanza liverpool

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwa wewe apo kwa hali aliokuanayo alistahili kutolewa kwa mkopo abakie solanke?
Haikustahili mkuu.Ilikuwa ni kosa kumuweka Solanke mbele ya Origi.Solanke bado sana kuwa hata third choice striker kwa timu inayohitaji mafanikio

Sorry kwa kudouble reply...network
 
Naangalia game Ya watani zetu vs Everton and I must say bora hata sisi
Watani wetu timu yao ni hovyo sana na wanacheza bila malengo na soka yao iko hovyo sana yaani inahitaji moyo kuangalia
I think watani unawazungumzia ni Everton
 
Ndani Ya Siku 2:

• Tumecheza Mechi 2
• Tumefunga Magoli 4
• Tumeconcede Goli 2
• Tumepata Points 6
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…