Mo Salah out for two weeks???
Bad news in First day of 2018???
Oh God! Please Cancel 2018 and bring me back to 2017, I think 2018 is not alright for me and My Liverpool.
Hii ya mo salah ngumu kumeza
Na maneno yako yatimieAlmost atakosa Mchezo mmoja tu Wa Leo dhidi ya Burnley Coz Mchezo Wa FA dhidi ya Everton Hata kama Angekuwa Mzima Sidhani Kama Angecheza!
Kyle wenyewe Kina Strridge na Ings.
Mechi Na Man city ipo possibility Kubwa ya Kuwa atacheza.
Nahisi Kontinho ndo basi tena mana hayupo ata bench.Hiki kikosi cha Leo tuombe tu tushinde ila n presha



Nahisi Kontinho ndo basi tena mana hayupo ata bench.
Lalana kanza rasmi kushika nafasi yake.
Sijui kwanini kocha kamtoa Origi kam bakisha solanke dah
Kwa hawa jamaa tukishinda basi msimu huu tutakua wa pili
Yani wewe acha tu, sijui ni dharau ama nini. Mechi ya kwanza anfield tulishindwa kuwafunga na tukiwa na full kikosi leo sijui itakuwajeYani Sisi Tupo Serious na Ligi Yeye Jürgen Rotation anatuletea Rotation za Kipumbavu!!!!![]()
• Mo Salah nje (injury)
• Coutinho nje
• Firmino nje
• Robertson
• Matip Nje
Huyu Mzee Wa Rotation anachezea hisia zetu Sijui anatutafuta Nini?
By the Way Nina imani na Ushindi licha ya Kuwa Ni Kikosi dhaifu.
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]