Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama Hujui Mpira basi Jifunze Kusoma Kwa Ufahamu kile nilichoandika!
Umeshindwa vyote viwili Ni Jambo la busara iwapo utakaa kimya!
[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
"Usiku mwema Kop"
We ndo kama hujui kaa kimya
Unajidai kumkosoa kocha kanakwamba unajua zaid yake
Unachotushauri tukuachie kikosi ufundishe
 
Hongereni sana Kop
Tupo vyema sasa!
Chelsea na Man U watatupisha tu wala hii haina mjadala
 
Salah anapoteza nafasi nyingi za wazi anakuja kufunga mabao magumu sana!Akirekebisha hii anakuwa mfungaji bora easy tu
Game ya LC alistahili atupie bao 5 mwenyewe kiurahisi tu
 
Mand kajifunza kitu
Leo kacheza vyema sana
Tutanpoteza Coutihno lkn tutapata replacement
 
Mbu,

Unajua sisi wapenzi wa Bwawa la Maini sio 'viredio' kama wapenzi wa timu chovu maarufu tatu. Kwa hiyo tupo na tunaserebuka na kujiandaa na ubingwa hapo May.
Lkn ndo hamjawai pakata Uefa, ko nyie bado sana.
 
Tokea Tulipofungwa Na Spurs Rumehsacheza Michezo 15 (in all Competitions) bila Ya Kufungwa Hata Mmoja:

Tumeshinda Michezo 10
Tumetoka Sare Michezo 5
Tumefunga Magoli 47
Tumefungwa Magoli 11
Tumepata Clean Sheets 8

Hizi Draws zote Ni Makosa Ya Defence! Kwahiyo Next season naamini Hakutakua Na Makosa Hayo Tena.
 
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho amehoji madai ya mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp's ya mwaka 2016 kwamba yuko tayari kuwacha kazi yake badala ya kutumia fedha nyingi kununua wachezaji.

Liverpool inajianda kumsajili Virgil van Dijk kutoka Southampton kwa kitita cha £75m mnamo mwezi Januari, kitita ambacho kimevunja rekodi ya dunia kwa upande hamisho wa beki.

Klopp alisema siku ya Ijumaa kwamba kitu cha mwisho anachofikiria sio gharama kwa sababu wanampenda mchezaji huyo.
Aliongezea: Unapatiwa bei na ni lazima ukubali.

Hatahivyo Mourinho alitumia mkutano wake na wanahabri kuzungumzia kuhusu matamshi ya Klopp aliyotoa wakati United ilipomnunua Pogba kwa dau la £89m kutoka Juventus mnamo mwezi July 2016.

Klopp alinukuliwa akisema kwamba hawezi kununua mchezaji ni kiwango cha juu cha fedha na iwapo soka inaelekea katika mwelekeo huo basi huenda akawacha ukufunzi.
 
Tetesi
BARCA & LIVERPOOL ZAAFIKIANA KWA COUTINHO

Philippe Coutinho anaelekea kuwa mchezaji ghali zaidi kuuzwa Ligi Kuu Uingereza katika historia akitarajiwa kutua Barcelona kwa kitita cha £125 milioni, kwa mujibu wa Express .
Mbrazili huyo alikuwa shabaha ya Barca miezi mingi, lakini Blaugrana walishindwa kufikia makubaliano na Liverpool majira ya joto.
 
ZAAFIKIANA!!! 😀 😀 😀 😀 😀

Media bhana haziachi vituko!!! Zishatangaza Kuagikiana Wakati Scouts ya Barcelona Hata Uengereza Bado haijakanyaga!!!
 
Tetesi
Liverpool itamsajili kiungo wa kati wa Schalke's na Ujerumani Leon Goretzka katika uhamisho wa bure msimu ujao(Sun via Bild)
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge anapendelea uhamisho wa Southampton lakini anahofia United itazuia uhamisho wowote chini ya £25m. (Daily Mirror)
 
Tetesi
Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp anasema kuwa usajili wa kitita cha £75m wa beki wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 26 Virgil van Dijk kutoka Southampton haumanishi kwamba klabu hiyo sasa itamuuza Philippe Coutinho, lakini hakusema kuwa mchezaji huyo hataondoka Liverpool. (Daily Mail)
 
Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike imevujisha kuwa huenda usajili wa nyota wa Liverpool na Brazil Phillipe Coutinho kwenda Barcelona umekamilika tayari.

Nike kupitia tovuti yao jana waliweka picha ya jezi ya Barcelona ya msimu huu yenye jina la Coutinho, huku wakiambatanisha na ujumbe unaoonyesha kuwa nyota huyo anatua Cam Nou kabla ya msimu kumalizika.

Philippe Coutinho yuko tayari kuipamba Camp Nou'', Waliandika Nike ujumbe huo kwenye picha ya jezi za FC Barcelona za msimu huu 2017-18 iliyoandikwa jina la Coutinho.

Baadae Nike walifuta ujumbe huo baada ya mashabiki wa Liverpool kuanza kuishambulia kampuni hiyo kuwa inashinikiza mchezaji wao ahamie Barcelona kwa kuwa Nike wanaidhamini klabu hiyo ya Hispania.

Coutinho mwenye umri wa miaka 25 amefunga mabao saba na kutoa msaada wa mabao sita kwenye Ligi Kuu soka nchini Englanda msimu huu.
 
Haikuwa Kweli Kuwa NIKE waliweka Picha Ya Jezi Ya Coutinho!!

Ni Hackers Ndiyo Walioichukua Picha ya Iniesta Wakaiphotoshoped ionekane Kama Ya Coutinho.
Baadae Nike Wakarekebisha.

IMG_20171231_160040.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom