Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haikuwa Kweli Kuwa NIKE waliweka Picha Ya Jezi Ya Coutinho!!

Ni Hackers Ndiyo Walioichukua Picha ya Iniesta Wakaiphotoshoped ionekane Kama Ya Coutinho.
Baadae Nike Wakarekebisha.

View attachment 664517

IMG_20171231_160712.jpg
 
Mwaka huuu nitakua mchoyo wa fadhila nisipoishkuru crystal palace kwa kupunguza speed ya pep
 
Haikuwa Kweli Kuwa NIKE waliweka Picha Ya Jezi Ya Coutinho!!

Ni Hackers Ndiyo Walioichukua Picha ya Iniesta Wakaiphotoshoped ionekane Kama Ya Coutinho.
Baadae Nike Wakarekebisha.

View attachment 664517
Mi naona nike inabidi watoe maelezo kuwa walikua hacked (kama kweli walikua hacked). Kufuta page na kukaa kimya haitoshi. Personally mi siamini kama walikua hacked bali ni mchezo mchafu wa barcelona kujaribu kuforce move ya Coutinho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom