Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mchezaji Ambaye Leo Naweza Kumrate 9/10 Ni Emre Can!!
Yaani Huyu Jamaa Kama Atapewa Nafasi Season Nzima 100% ya Defensive Midfielder basi Anaweza Kuwa Binge la Box-to-Box defensive midfielder... Lakini Hendo Anaziba Kipaji cha Huyu Jamaa.
Can bana kuna mechi hua anapotea mpaka unajiuliza alilala bar au...bado ana safari ndefu ila kwa umri wake atakuja kua vizuri sana...ila sasa sioni akasaini mkataba tena Anfield
 
Yani Kocha Hata Angekuwa Yule Omog Aliyefukuzwa Simba Basi Hawezi Kumueka Bench Gini au Lallana Na Kumchezesha Milner...

By the way! Wacha tumstahamilie Jürgen Rotation
Tumia akili wewe
Jini au lalana sio viungo wakabaji
Bora ya Can kwa mbali ambae nae si mkabaji
 
Virgil Van Dijk Akiwa Anaifatilia Game ya Leo Kwa Karibu akijiandaa Kuwavaa Everton Kwenye FA

26000982_1992224380802719_1744993333385637042_n.jpg

26165406_1992224360802721_5294260909071237936_n.jpg

26047432_1992224377469386_3745019952402698489_n.jpg
 
Kiukweli kwa mpira wa leo nimemkubali sana Firmino. Kwa jinsi alivyokuwa anakuja kuichukua mipira kati na pembeni kwa ajili ya kuanzisha mashambilizi.
Huyu jamaa anajua sana, tumtafute tu namba tisa halisi ili jamaa acheze nyuma.
 
Kiukweli kwa mpira wa leo nimemkubali sana Firmino. Kwa jinsi alivyokuwa anakuja kuichukua mipira kati na pembeni kwa ajili ya kuanzisha mashambilizi.
Huyu jamaa anajua sana, tumtafute tu namba tisa halisi ili jamaa acheze nyuma.
Sahihi kabisa, kwa mechi ya leo Firmino na Emre Can wamekuwa na mchango mkubwa sana
 
Lile goli la pili move aliianzisha Salah ukawa mpira wa kurusha. Akaupokea Firmino akampa pass Milner ambaye akapiga back heel kwa Mo Salah ambaye hakufanya hajizi zaidi ya kutia nyavuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom