Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

25593993_2001116700144227_3595289440258140940_n.png.jpg
 
Tetesi
Liverpool inapambana na Borussia Dortmund kumpata beki kisiki wa Basel Manuel Akanji. (Independent)
 
Muda Ndiyo Unakaribia! Wacha tusubiri tuone atakachotufanyia Klopp Manake Hakuna anaejua Klopp anachokiwaza Klopp!! Usijeshangaa Ukamkuta Solanke Anaanza Game ya Leo na Firmino na Coutinho wakaishia Bench ikisha Akatuambia "THIS IS ROTATION".
 
Nakumbuka kipindi kile kwa Dalgish maneno haya yalizungumzwa sana, ila kilichokuja kutokea sidhani kama G mwenyewe atataka.
japo upo sahihi ila ukumbuke Dalgish kocha wa miaka wa 1985 mpaka 1991 na wa sasa ni 2011 ni zama mbili tofauti...naamini Stev atakuja kua kocha bora...nyota njema huonekana asubuhi
 
Leo Klopp Kaeka Bange Zake Pembeni na Kusahau Rotation zake...

Line-Up:
Mignolet
Gomez
Klavan
Lovren
Robertson
Henderson
Can
Coutinho
Mane
Salah
Firmino

Subs: Karius, Alexander-Arnold, Lallana, Oxlade-Chamberlain, Wijnaldum, Milner, Solanke.
 
YNWA...

Kwa nini hakumwanzisha Ginni badala ya Heddo? Tutarajie wide na back pass. Ila hii game tunashinda. Makosa tuliyofanya mwanzo ndio yanatugharimu.
 
YNWA...

Kwa nini hakumwanzisha Ginni badala ya Heddo? Tutarajie wide na back pass. Ila hii game tunashinda. Makosa tuliyofanya mwanzo ndio yanatugharimu.

Ni kweli early mistakes zinatugharimu sasahivi... Lakini Makosa hayo sii mwanzo tu, Hata Sasahivi tunayafanya ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom