Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada Ya Liverpool Kushinda Mchezo Wa Leo Natabiri Mambo Mawili Yatatokea:

1) Kwanza Wale Wote Wanaopotea Wakati Liverpool inapofanya Vibaya Kwa Ushindi Wa Leo Basi Watajitokeza Kumpongeza Klopp Kwa Shangwe...

2) La
pili! Klopp Wakati Kashinda Basi Atafanya Juu Chini Atukere! Kwahiyo Mechi ijayo Natabiri Kuwa Atamueka Benchi Coutinho na Firmino.

JK is very arrogant and at times he's very stupid and naive
 
Msimu Huu umekuwa Vice vasa! Game 3 mfululizo Ndani Ya Anfield Tumedraw....
Lakini Game 4 mfululizo Ugenini Tumeshinda.....

Kwahiyo Uwanja Wa Nyumbani Ndiyo Klopp Anazifanya Ziwe Ngumu Zaidi Kuliko Ugenini....

Na Sababu Kubwa Ni Kwamba Hizi Rotation Zake Zaidi
Huzifanyia Anfield ndiyomana Anashindwa Kuujengea Heshima Uwanja Wa Nyumbani..
 
Haya Ndiyo Yanayojiri Mitandaoni Kwa Liverpool Yenyewe na Mashabiki Wake Kuhusu King No Salah ↓↓ :

Games: 25
Goals: 20 ⚽️

Assists: 4
Merseyside Derby Goals: 1

✅ PL Top Scorer
LFC Player Of The Month: 3
Goal Of The Month: 2

UCL Player Of Week: 2
PL Player of Month: 2


Kituko Hichi Kwa Mara Ya Kwanza Nakishuhudia Kwa Liverpool Katika Historia Ya Kuipenda Kwangu!!!!

Eti Tunafika Pahala Tunasherehekea Magoli Ya Mo Salah badala Ya Kombe...
Hapa Ndiyo "ROTATION" ishapotufikisha.....

Hii Ya Kusherehekea Magoli Ya Mchezaji Ni Dalili tosha Kuwa Tumeshafeli Katika Mpira Kwahiyo Mashabiki Wanaona Bora Wajifariji Kwa Kusherehekea Magoli ya Mo Salah.
 
Sasa Wacha Tuendelee Kujifariji Kwa Mo Salah tu Ndiyo hatuna Jengine 😀 😀 😀


22552596_1984678185142999_2135052696869041803_n.jpg



"King Muhammed Salah becomes the first Liverpool player to get 20 goals (in all Competitions)
in a season before Christmas since Ian Rush in 1986-87.
 
Pale Mwandishi Wa Sky Sports Patrick Davison Alipomuuliza Phillipe Coutinho Kuhusu Kuihama Timu! Alichofanyiwa na AOC hawezi Kukisahau 😀 😀 😀

Thanx AOC kuwaadabisha Waandishi Kama Hawa Wa Udaku...


 
Jürgen Klopp Amethibitisha Kuwa Naby Keita Hatokuja Liverpool Katika Mwezi Wa January na Atakuja Rasmi Liverpool July 1, 2018....
Hii Ni Dalili Pia Kuwa Coutinho Nae Hataondoka January Bali Possibility ni Kuwa Ataondoka
Summer 2018...
Ila anamatatizo Ya Kinidhamu Coz Hata Msimu Haujamalizika Tayari ameshapewa Red Cards 2....

Klopp: No January move for Naby Keita
 
mechi ya ijumaa vs Gooners ndio itakua tena vituko vya Kloop kupanga kikosi...huyu mzee miwani ana lake jambo japo wengi wanadai anafanya hii rotation ili yaliyotokea Januari 2016 timu ilipotea na majeruhi wengi tulipata..
binafsi naamini upambane leo ya kesho yatajulikana mbele kwa mbele...
kukosa point muhimu kwa game za nyumbani kwa kuwaza tu 2018 Jan ni kosa kubwa sana kwa Klopp....siku akiamka usingizini Liverpool itakua moto wa kuotea mbali.
 
Hiv hii mechi tunayocheza ijumaa na aseno ni ya round ya kwanza au ya pili? Maana nakumbuka tulishacheza nao tukawapiga nne, ila mpka ss hv tumecheza mechi 18 za round ya kwanza manake bado moja tumalize round.
 
Tetesi
Liverpool hawatawasilisha dau kumtaka beki Virgil van Dijk iwapo Southampton hawatashusha thamani ya Mholanzi huyo wa miaka 26 ke kutoka £70m. (Irish Independent)
 
Hiv hii mechi tunayocheza ijumaa na aseno ni ya round ya kwanza au ya pili? Maana nakumbuka tulishacheza nao tukawapiga nne, ila mpka ss hv tumecheza mechi 18 za round ya kwanza manake bado moja tumalize round.
PL huwa kabla hujamaliza mechi yako ya mwisho ya round ya kwanza unacheza mechi nyingine kwanza then ndio unamalizia mechi ya round ya kwanza
 
Good win for us 0-4

But defense kiukwel bado mbovu. Si shauri kabisa Klavan aanze game Vs arsenal.. Game kubwa huwa hajiamini kabisa

Refer game ya juz.. Yeye+Lovren walivokua outrunned na J.Defoe..pale goli lilikua linarud kabisa...
 
Kama inawezekana for me its better Can aanze kama CB though jamaa kupata card is a very easy thing ..

Henderson is still worse.. pressure anayopata kutoka kwa LFC fans naona ndo anazidi kuishindwa kazi yake ya u-DM

My opinion is.. Fab four waanze wote...

Ila Salah ndo muhim zaid kwasabab ya pace


Ox +lallana waje waingie... Ila naona the only way left ya Klopp kutokufungwa sasa hiv goli.. ni kucheza kwa pace the whole of 90 mins... kwasabab the truth is that Liverpool goli likisharud there is no plan B

To prove this.. Sikumbuk kama kuna game zimezidi tatu this season tumetoka nyuma na kuja kushinda.. I dont think if there is any (I stand to be corrected)
 
Katika game ambayo Klopp anatamiwa asi apply ujinga wake wa rotation ni hii!!

The German man anataka aonekane naye ni Legend kwa kuleta formula nyingi za ajab ajab ambazo its totally true that they are not applicable in England
 
Tetesi

Winga wa Wales na Liverpool Harry Wilson, 20, amekataa kusaini kandarasi mpya katika klabu hiyo ya Anfield. (ESPN)
 
Tetesi
Barcelona iko tayari kulipa £132m ili kumsajili kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari. (Sport - via Daily Mail)
 
Tetesi
Arsenal na Liverpool wako katika mazungumzo ya kutaka kumsajili kiungo wa kati wa Real Madrid Dani Ceballos, 21. (Diario Gol - via Daily Star)
 
Tetesi
Arsenal na Liverpool wako katika mazungumzo ya kutaka kumsajili kiungo wa kati wa Real Madrid Dani Ceballos, 21. (Diario Gol - via Daily Star)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom