Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na Huyu Marko Grijic Wamwache Tu Aende Zake Fenerbahce Kwa Mkopo Hapo January Akafufue Kipaji Chake Asiendelee Kufia Bench Kwani Klopp ana Hendo na Solanke Ndiyo Wachezaji Wake...
Hao Kina Grujic, Woodburn na Origi Yeye Kama Hawamuhusu.
 
Jana Chelsink, na Gooners wameshinda itakua ajabu Klopp kupanga kikosi cha kutafuta draw tena huku akifahamu Totenloser wamepigwa...
 
Kamueka Juu Mane na Can...

Siangalii Leo Kama Tutashinda au Tutafungwa au Tutatoka Sare... Lakini Ukweli Ni Kwamba Wenzetu Wanachezesha Vikosi Kamili Kutafuta Ushindi wakati sisi Kocha Wetu Yuko Bize na Rotation!!!!! Haki Ya Mungu Kwa Rotation Hii Timu Yetu itafika Kiama Haitokuwa na Consistency...

Naomba Leo Tushinde Hii Mechi.
 
Uko sahihi.
Nilpoona line up tu nikaacha kuiangalia hii game.
Tumeshinda lakini ujinga anaoufanya JK ni wa kipuuzi sana hasa hii policy yake Ya rotation na ndio maana imetucost 4 points ktk game 2 zilizopita.
Rotation afanye kwenye Micky mouse cups kama FA, Carling etc
According to Robbie Fowler himself, "rotation kills momentum"
Bado hainiingii kichwani umpange Solanke na umpige bench Sturridge
 
Baada Ya Liverpool Kushinda Mchezo Wa Leo Natabiri Mambo Mawili Yatatokea:

1) Kwanza Wale Wote Wanaopotea Wakati Liverpool inapofanya Vibaya Kwa Ushindi Wa Leo Basi Watajitokeza Kumpongeza Klopp Kwa Shangwe...

2) La
pili! Klopp Wakati Kashinda Basi Atafanya Juu Chini Atukere! Kwahiyo Mechi ijayo Natabiri Kuwa Atamueka Benchi Coutinho na Firmino.
 
Gari la mkaa trip moja porini then garage
 
Kamueka Juu Mane na Can...

Siangalii Leo Kama Tutashinda au Tutafungwa au Tutatoka Sare... Lakini Ukweli Ni Kwamba Wenzetu Wanachezesha Vikosi Kamili Kutafuta Ushindi wakati sisi Kocha Wetu Yuko Bize na Rotation!!!!! Haki Ya Mungu Kwa Rotation Hii Timu Yetu itafika Kiama Haitokuwa na Consistency...

Naomba Leo Tushinde Hii Mechi.
Emre can alikua na kadi 5 za njano hivyo Leo alipunzishwa kutumikia adhabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom