Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jack Wilshere, Daniel Sturridge na Julian Draxler ni miongoni mwa majina ya wachezaji nyota 10 wanatakiwa kuzihama klabu zao katika dirisha dogo la usajili Januari, mwakani.

Wachezaji hao wanatakiwa kuzihama klabu zao kama wana ndoto ya kuzitumikia timu za Taifa katika fainali za Kombe la Dunia zilizopangwa kuchezwa mwakani Russia.

Nyota hao hawana namna zaidi ya kuondoka baada ya kukosa namba katika kikosi cha kwanza. Makocha wa timu za Taifa wako ‘msituni’ kuangalia wachezaji wenye viwango bora.

Baadhi ya nyota wengine wanatakiwa kuhama Mbelgiji Michy Batshuayi aliyekosa namba Chelsea. Luke Shaw Manchester United na Danny Rose wa Tottenham Hotspurs wanaocheza nafasi ya beki wa kushoto katika kikosi cha England.

Fainali hizo zimebakiza takribani miezi mitano kabla ya kuanza kutimua vumbi na kila timu inatakiwa na wachezaji 23 watakaokwenda Russia.
 
Mimi ni shabiki wa Liverpool ya England yan Naipenda Liverpool tangu utotoni mwangu.
Binafsi nashindwa kuelewa tunashndwa wapi kupambana na kubeba kombe hili maana naanza kumuona JK akishndwa hta kupanga first 11 yke sasa sjui anashndwa au ni migogoro ya ndani ya timu.?
Naomba tushauriane jaman Kopps.

"You will Never Walk Alone"
 
Tunao Uzi Wetu Wa [HASHTAG]#Liverpool[/HASHTAG] ambako Tunakutana na Kujadiliana Mambo Mbalimbali Kuhusu Timu Yetu!
Njoo hapa ↓↓ tushauriane kuhusu Liverpool na si kufungua utitiri Wa Nyuzi zisizo na Tija....

Liverpool FC, special thread
 
Liverpool bado wana hamu ya kumnunua mkabaji wa Southampton mwenye umri wa miaka 26 kutoka Uholanzi Virgil van Dijk mwezi Januari. (Liverpool Echo)
 
Burnley wameruhusu Magoli 12 tu Golini Kwao Katika Michezo 17 ya EPL waliyocheza...

Lakini Liverpool Tumeruhusu Magoli Hayo 12 Katika Michezo 3 tu ya EPL tuliyocheza...
1) vs Watford
2) vs Man City
3) vs Spurs

Halafu Anatokea Mtu From Nowhere anakwambia Timu Yetu Defence ipo Vizuri.


 
Mimi ni shabiki wa Liverpool ya England yan Naipenda Liverpool tangu utotoni mwangu.
Binafsi nashindwa kuelewa tunashndwa wapi kupambana na kubeba kombe hili maana naanza kumuona JK akishndwa hta kupanga first 11 yke sasa sjui anashndwa au ni migogoro ya ndani ya timu.?
Naomba tushauriane jaman Kopps.

"You will Never Walk Alone"
mkuu Klopp no jeuri amejaa kiburi si vingine..maana ukiangilia namna ya upangaji line up siku hizi unashindwa kuelewa niaje...
Ikifika dirisha la usajili wachezaji wakisema wanataka kuodoka anaanza kuhangaika...maana kila mchezaji anataka awe kwenye timu inayochukua vikombe na sio bora kushiriki tu kama ambavyo Klopp ameifanya Liverpoll kwa sasa...
sina mashaka ni kocha mzuri ila Uboss wake unatuvuruga..wachezaji nao wanajiuliza hii rotation bila kuleta ushindi ni ya nini...
Asipobadilika atarudi ujeremani...kwa Liverpool, Bill alisema "first is first second is nothing"
 
Majibu Ya Midfielder Wetu Wa Zamani Dietmar Hamann Pale Tulipokuwa Tukimuuliza Maswali Mbalimbali Kuhusu Wachezaji Wa Liverpool Yalikuwa Kama Hivi: ↓↓

Pale Alipoulizwa Kuhusu Sturridge kuondoka Liverpool alijibu hivi ↓↓



Angelikuwa yeye Ni Kocha Angelimuuza Kwa £8m tu Kwani Kuwepo Kwake Liverpool na Kucheza 20% ya Mechi Zote Anaigharimu Liverpool Zaidi ya Hiyo £8m
 
Alipoulizwa Kuhusu Hendo Kucheza Kiungo Mkabaji! Alijibu Moja Kwa Moja Kuwa "HAFAI"...

 
Na Akawajibu Wale Wanaojisifia Liverpool Kuingia Top Kwa Kuwambia Wazi Kuwa "Kuqualify Kwa Champion League Sio Mafanikio Ya Timu"

 
Alipoulizwa Kuhusu VVD alijibu "Mchezaji Mzuri Lakini Ni Lazima Apate Kiongozi Kiungo Mkabaji) Wa Kujiongoza Safu Ya Ulinzi...

Kwahiyo Kwa Mujibu Wa Didi Hamann, Hata aje VVD hawezi Kuwa Beki Bora iwapo Mbele Yake Patakuwa na Hendo kama Kiungo Mkabaji.


 
Alipoulizwa Kuhusu Emre Can alijibu Kuwa "Ni Mchezaji Mzuri Lakini Si Mchezaji Wa Kumuomba Asaini! Ningelimuacha akitaka Asaini! Hakutaka basi angeondoka"


 
Klopp mzinguaji.. Game ya Eva Tonny ilikua ya kushinda, Game ya Cheltako ilikua yakushinda.. Game ya WBA ndio ilikua ngumu kwetu ila kocha msenge msenge ana maamuzi kama raisi magu.. Maamuzi ya kiwaki
 
Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane anasemamchezaji kiungo cha mbele wa Liverpool Mohamed Salah "ni mchazaji nnaye mpima kiwango sana" kufuatia kocha wa mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Misri Hector Cuper, kusema kuwa klabu hiyo ya Uhispania itamnunua mchezaji huyo wa miaka 25. (Sun)
 
Liverpool na Tottenham zimeonywa kuwa winga wa Fiorentina Federico Chiesa atawagharimu kiasi cha £53m. (La Stampa, via Talksport)
 
Yani Ukiangalia Stats Za Naby Keita Na Hawa Midfielders Wetu Basi Utakubali Tu Kuwa Timu Yetu Bado Sanaaaa!

Eti "Take On" za Naby Keita Ni Nyingi Kuliko Kuliko Kuzichanganya Kwa Pamoja Take On za Midfielders Wanne (Stupid Hendo, Gini, Can na Millie)...!!!!!!


DRAB-VZWsAEz-Cy.jpgsmall.jpg
 
Tulijichanganya Kwa VVD sasa Subiri Gurdiola Aliyekuwa Yupo Serious Na Usajili Amnyakue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom