Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kumbe Kutocheza Hendo Ni Furaha Ya Wengi....
Nikiangalia Kikosi Alichotupangia Na Everton derby ambayo Kwa Utamaduni Wetu Kops Ni Matusi Kuipoteza!
Na Nikiangalia Kikosi Cha Leo! Haki Ya Mungu Klopp Anavuta Bange Mbichi.

German pride kaka ndio shindaaa[HASHTAG]#kloppmanina[/HASHTAG] zake sana huyu psychopath!
anaacha kupanga "Fab Four" kwenye Merseyside derby anakuja kuwapanga vs West Brom??
[HASHTAG]#kloppmanina[/HASHTAG] sana sana sana!!!
mkuu huyu sio bangi ni German pride na pengine ana bet kama Joy Burton maana kuna kipindi kikosi anapanga kwa kutafuta mashabiki tuongeeKikosi Chetu Cha Leo:
Karius
Alexander-Arnold
Klavan
Lovren
Robertson
Wijnaldum
Can
Coutinho
Mane
Salah
Firmino
Subs: Mignolet, Milner, Gomez, Henderson, Oxlade-Chamberlain, Ings, Solanke.
Siku ya Mechi Muhimu Kama Chelsea na Everton ambazo alipaswa Kushusha Kikosi Kamili cha Kazi! Yeye aliweka Wachezaji Wetu Bench...
Lakini Game ya Leo ambayo Ndiyo ya Kupumzisha Wachezaji Basi Kaeka Kikosi Kamili..!
Nashawishika Kuuliza Hivi Huyu Klopp anavuta Bangi Za Nchi Gani? 😀 😀 😀
screw it!!German pride kaka ndio shindaaa
already by recharged Baggiesscrew it!!
Alafu na nyie mnakubali kuangushwa? Then malizia basi akisha waangusha anawafanya nini?Klopp anatuangusha jamani..two games ndani ya Anfield Fortress zinaisha na draw....kwa kweli hana haja ya kutafuta mchawi maana ndio yeye...
good night dear Reds

mkuu kiburi cha huyu jamaa si cha kawaida...wewe twende tu mashabiki wa Majogoo wa jiji ni wavumilivu ila kikomo kipo asipobadilika safari ya ujeremani ipoAlafu na nyie mnakubali kuangushwa? Then malizia basi akisha waangusha anawafanya nini?![]()