BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Mjinga huyu mjeruman[HASHTAG]#kloppmanina[/HASHTAG]
Mjinga huyu mjeruman[HASHTAG]#kloppmanina[/HASHTAG]
pathetic Klopp...yaani Derby analeta German pride kweli huyu ni mzigoWakuu hii game yetu leo tunapoteza. Nyie mnaonaje.? Maana sijaona kabisa sababu ya sisi kushinda kwa sababu ya unyonge wetu. Vibonde
mkuu ni vibaka tu hata mashabiki wake pia vibakaHivi hii ni timu. Au genge la wahuni.
Hivi hii ni timu. Au genge la wahuni.
mkuu ni vibaka tu hata mashabiki wake pia vibaka
Stop dat bro. Today at least he does something compared to past matchesLitazame Lile Hendo eti Linamfokea Refa..! Pumbavu Kweli hill...
Gomez is th real deal..ndogo kila kukicha anazidi kuimarika....na ukumbuke ndogo ni Center Half...ina maana akipona Clyne ndogo anaweza akachukua nafasi xake na ndogo akacheza center halfRobartson na gomez wananifurahisha san we dont need clyne again
jirani yangu matusi sio sehemu ya ujirani
Stop dat bro. Today at least he does something compared to past matches
Hivi Kule Uengereza Hakuna Watu Wasiojuilikana Wakampiga Risasi Lovren???![]()
![]()
Klopp hajawahi kumfunga Big Sam hapo AnifieldHahahaaa wakuu, mbona waoga hivi?! Klopp ameamua kumpiga Sam kwa makombora ya Kim Jong Un!!! Kaeni mkao wa kula tu....
YNWA.