Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ameamua kuwapumzisha. Kumbuka jumatano tuna game na West Brom na Jumamosi na AFC Bournemouth
 
Mignolet, Gomez, Klavan, Lovren, Robertson, Milner, Henderson, Ox, Mane, Salah, Solanke.

Subs:Karius, Gigi, Firmino, Cou, Can, Ings, A-Arnold.
 
Nikiwa Ninajiweka Tayari Kisaikolojia Kuangalia Mile Ninachokisubiri....

IMG_20171210_170412.jpg
 
Hivi huyu kocha anataka kututia pressure. atamweka vipi bench Countinho na Firminho mechi muhimu kama hii na kuwuweka Solanke mtoto ndogo. Na leo tukifungwa wamfungishe virago aondoke aombe Mungu tushinde tu. Eti Chamber na Solanke wanaanza na Countinho bench. Cain pia bench kamuweka Anderson. hebu ndugu zangu wa Liverpool huyu mtu anatutakika kheri kweli.
na Gini nje yaaaani huyu Klopp atakua ana bet sio bure...sisemi hawana uwezo hawa waliopangwa ila du mpaka msimu ulipofika Klopp hana first 11 ya uhakika
 
Hahahaaa wakuu, mbona waoga hivi?! Klopp ameamua kumpiga Sam kwa makombora ya Kim Jong Un!!! Kaeni mkao wa kula tu....
YNWA.
 
Kama Muliniangalia Leo toka ilipoanza Game sijaQuote Kumlaumu Klopp mujue nilikuwa na maana.... 😀 😀 😀

Klopp kaamua Kutuchezea Roho Kwa Kubeti...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom