Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

It’s Mane problem who deny us 3 points today!JK aongee na Mane aache uchoyo ile angeitoa kwa nje ni bao rahisi sana kwa Liverpool
Siwezi laumu bao la penalty sababu kiuhalisia haikuwa penalty
Hii mechi ya leo ni upumbavu wa Klopp tu, kitendo cha kumuacha Coutinho na Firmino kwenye first eleven halafu kumuanzia Hendo!!!
Leo Klopp kaniboa kinoma, hizi siyo gemu za kupoteza kabisa.
Timu ya ushindi alishaijenga siku ile ikapiga mtu goli saba halafu leo anaivuruga tena.
Stupid!
 
Kiukwel Hamna cku nimeumia Kama Leo nilikuwa kwenye banda umiza nasubir game nilipo ona tu kikosi kwakweli nilitoka kwa hasira kifupi klopp anadharau big match Kama hii hakupaswa kuwaweka bench coutinho firmino kifupi mchawi wa Liverpool Ni kocha hatuna wa kumlaumu
 
Hii mechi ya leo ni upumbavu wa Klopp tu, kitendo cha kumuacha Coutinho na Firmino kwenye first eleven halafu kumuanzia Hendo!!!
Leo Klopp kaniboa kinoma, hizi siyo gemu za kupoteza kabisa.
Timu ya ushindi alishaijenga siku ile ikapiga mtu goli saba halafu leo anaivuruga tena.
Stupid!
Chelsea last season walichukua ubingwa na kikosi kilekile karibia mechi zote...Leo Klopp ndio wa kubeba lawama Sio Lovren
 
Unamtoa Salah badala ya solanke haonekani hata anachofanya. Ings anaingia mechi muhimu hii kufanyaje? Muda mwingine klop anakera.


Takribani Majuma Mawili Hivi Klopp Tumekuwa Tukimpongeza Kwa Kubadilika Kwake...! Kumbe alikuwa anatuvutia Timing tu atukamate pabaya teh teh teh teh teh teh 😀 😀 😀

Ama Leo nimeamini "Mwandawazimu hapoi"...

By the way Mimi Nipo speechless naona klopp kaniziba mdomo Sijui niseme nini....
Hongera Klopp pengine Kuna Kitu umelenga Si bure...
 
Tetesi
Mchezaji wa safu ya kati wa Liverpool Philippe Coutinho anataka hakikisho kuwa ataruhusiwa kujiunga na Barcelona msimu ujao. (Sunday Mirror)


Its just a rumors dont get angry looh
 
Tetesi
Liverpool, Manchester United na Tottenham wamejiunga na Everton katika kumasaini mlinzi wa Augsburg ya Ujerumani Philipp Max, 24. (Mail on Sunday)
 
Kiukweli jana Klop aliniboa sana.....kaninyima raha jana....mtu mwenye akili timamu awezi kumtoa salah dk zile za 70. salah alikua anawakeep busy mabeki wa everton hata kupanda walikua hawawezi....na ndio maana beki zetu zilikua zimerelax ktk kipindi cha mchezo wote....sasa alimpo mtoa salah everton walipata kitu kinaitwa auweni...wakaanza kupanda mbele kutafuta goli la aina yeyote.

km asinge mtoa salah akiya Mungu tulikua tunashinda ile mechi. nilipoona firminho ana pasha nikajua solanke anatoka kumbe da anamtoa salah.....jana Klopp got it wrong aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom