Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ingelikuwa Nikiomba tu Mungu Ananikubalia Basi Ningemuomba Moreno Asipone Tena....
Sio Siri Robertson ananikumbusha Style ya Fabio Aurelio... Dogo noma huyu..

Please Klopp! Huu Ni wakati Wa Kumsahau Moreno.
 
huyu left back wa Liva Robertson naona ni mzuri kulinganisha na Moreno anayefanya makosa ya kizembe sana..au ni kwa vile Everton wamepaki bus muda wote?
 
Hapa Hakuna Jinsi isipokuwa Kipindi Cha Pili Aingizwe COUTINHO, FIRMINO na GINI... Atoke SOLANKE, AOC na MILNER...
 
huyu left back wa Liva Robertson naona ni mzuri kulinganisha na Moreno anayefanya makosa ya kizembe sana..au ni kwa vile Everton wamepaki bus muda wote?

Mkuu Huyu Robertson Si Kwa sababu Toni Wamepaki Basi! Huyu tokea aanze Kucheza Liverpool Basi Hakuna Mechi aliyocheza Vibaya! Jamaa yupo Makini kinoma..
 
Lovren Kashalewa Si bure!
Klopp bhana..! eti sasahivi Ndiyo anamwingiza Coutinho!! 😀 😀 😀 😀
Hapa Ni Kucheka tu...
 
Hivi Kule Uengereza Hakuna Watu Wasiojuilikana Wakampiga Risasi Lovren???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom