Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
COUTINHOOOOOOOO 😀😀
Hii sherehe bila Ustadhi Sallah haitanoga
Na Fahamu Kuwa Kuwa Kimya Chetu Hakimaanishi Kuwa Tumeridhika Na Timu Hii aliyonayo Ya Kugombania Top 4...
Tunamsubiri Dirisha la Summer la Usajili tuone atafanyaje!! Akileta Kiburi tutakuja na [HASHTAG]#KLOPPOUT[/HASHTAG]...
Hatutaki Top 4 Bali Tunataka Kombe.
3-3 na Seville mlimtukana sana JK kama vile ni mwisho wa dunia!
Leo hapa nasoma Madrid toka 2-0 hadi 2-2 sasa nao wamtukane na kutaka bodi imfukize Zizou!
Tuweke akiba ya maneno na JK is the right person kuongoza Liverpool
Hawa Man City isha isha pumzi na mtakuja hapa kuniambia wkt EPL title itakapokuwa wide open
Aibu
Klopp ni kocha wa milele wa Liverpool
Kama hutaki sina cha kukusaidia
Kocha wa milele kwa mafanikio gani aliyotupa mpaka sasa au wewe kocha Bora kwako unamtambuajeKlopp ni kocha wa milele wa Liverpool
Kama hutaki sina cha kukusaidia
Kocha wa milele kwa mafanikio gani aliyotupa mpaka sasa au wewe kocha Bora kwako unamtambuaje
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah