Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Senegal kapita WC
They dont need to field Mane tomorrow
Tunarudi kwa Soton na kikosi imara
Mechi mbili hizi Anfield(Soton vs Chelsea) tunapaswa kupata points zote 6
Na uwezo huo tunao!
 
Kuna taarifa Mane katonesha maumivu yake na atafika leo(Jumatatu)kuungana na team ya ma dr wa Liverpool!
Tuombee set back isiwe kubwa maana he is most important player for us
 
Leo nimemkumbuka Downing jamaa nilikuwa namkubali sana
15509.jpg
 
NEWCASTLE INAMTAKA STRAIKA WA LIVERPOOL


Meneja wa Newcastle Rafa Benitez anataka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Danny Ings kwa uhamisho wa mkopo dirisha la Januari kwa mujibu wa Evening Chronicle .
Tatizo Klopp hataki.kumwachia huyu jamaa na hata akipona hamchezeshi
 
LiverpooL wanataka kutumia paunia milioni 5 kumsaini mchezaji wa miaka 17 wa Wolves Morgan Gibbs-White mwezi Januari. (Sun)
 
Meneja mpya wa West Ham, David Moyes anataka kumsaini kwa mkopo mshambuliaji wa Liverpool Danny Ings, 25. (Sun)
 
Manchester City na Juventus wanatamka mchezaji wa kati wa Liverpool Emre Can, 23, ambaye mkataba wake utakwisha msimu huu. (Daily Star)
 
Borussia Dortmund wana naia ya kumsaini mchezaji wa Liverpool Emre Can, huku mkataba wa mchezaji huyo wa kiungo cha kati mwenye miaka 23 ukitarajiwa kukamilika mwishoni wa msimu. (Times )
 
Tetesi
ARSENAL YAACHA KUMFUKUZIA LEMAR


Arsenal wameamua kuachana na mpango wa kumsajili Thomas Lemar na wanaangalia mbadala mwingine kwa mujibu wa habari kutoka Mirror.
Ofa ya Gunners ya paundi milioni 90 ilitolewa nja na Monaco kwa ajili ya nyota huyo wa Ligue 1 - Liverpool na Barcelona zinatamani kuipata saini yake.
 
Any updates kuhusu wachezaji wetu walio majeruhi? Any one?

Sasa majeruhi ni Clyne tu ambaye atarudi mwezi February!
Lallana kama usajili mpya na kaja wkt muhimu sana kuingia kwenye mechi mbili ndani ya week!
Hamna sababu yyt ya kushindwa kumfunga Soton na Chelsea home kwetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom