Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii 4-4-2 alipaswa kuitumia mapema sana. Bado ana kikosi ambacho kinaweza kutupatia Diamond formation. .. nina hakika Firmino anaweza kutumika nyuma ya Sturridge kwani yeye ni ACM wa asili.....
Naamini tunaweza kumuona Suarez mpya. Huyu Hendo bana....sijui
Firmno alivyokua Hoff alitumika nyuma ya straika na ndogo alikua moto ajabu...sasa huu mfumo wa 4-3-3 hatupati kumfaidi vyema...
ngoja tuone game zijazo kama Klopp atafuata mfumo wa jana mechi zijazo na naamini tutafanya vizuri..
Hendo kaka ni mpambanaji inategemea hio siku kaamka aje...
 
To be Honest! Mkuu Kiurafiki Kabisa Naomba Unipe Sifa Mbili Za Hendo Zinazomthibitisha Kuwa Yeye Ni Mpambanaji?
Na Sifa Moja tu inayomthibitisha Kuwa Yeye Anastahiki Kuwa Cptain...

Naomba unijibu.
 
binafsi naona pamoja na majeraha huu mfumo wa 4-3-3 unatugharimu maana timu pinzani wao wanatupiga counter attack na bila kiungo mkabaji wa uhakika na defence kama unavyoijua naona ni issu...

Hapa Yanathibitika Yale tuliyokuwa Tukimlaumu Klopp Kuwa Mpira ni Mbinu! Ikifeli Plan A jaribu kutumia Plan B..
Nadhani Baada Ya Kubadilisha Mfumo tu Wa Timu basi Matunda Yanaonekana...
Laiti Klopp asingelikuwa Kiburi Tokea Mwanzo wa Ligi Basi Tusingelikuwa Hapa Tulipo...

Klopp ni Kocha Mzuri Sana Lakini Simpendi Kwa Sababu ya UKAIDI WAKE na KIBURI CHAKE..

Kiukweli Napenda Liverpool ibakie Chini ya Klopp Kwasababu akitimuliwa sijui ataletwa Mjinga gani aje Kutuudhi.. Lakini Rohoni Mwangu Bado Sijampenda Mpaka Atakapobadilika na Kuamini Kama MPIRA NI KIPAJI NA WALA SI KWENDA MBIO HOVYO
 
Yani Kama mtu anazungumza kiushabiki Basi atanibishia Lakini Kama Mtu anazungumza Mpira, Basi ni ukweli usiopingika Kuwa Anapokosekana Hendo Kwenye Timu Yetu Huwa Tumacheza Vizuri na Mabeki Wetu Wanakuwa Covered Kiasi Ya Kwamba Hata hile rate ya Kuconcede inakuwa Ni Ndogo..

Na anapocheza Hendo kama Defensive Midfielder Basi Mabeki wetu Wanakuwa very Exposed na Nirahisi Kuconcede magoli ya Kizembe..
 
Hata Hivyo Katika Mechi Zetu 3 (Huddersfield, Maribor & West Ham) ni Timu ambazo Zinastruggle Kila idara!!

So, Bado Sijaipa Confidence Kihivyo Timu Yetu...

Wacha Tuone Michezo itakayofata Timu itachezaje...
 
Hapa Yanathibitika Yale tuliyokuwa Tukimlaumu Klopp Kuwa Mpira ni Mbinu! Ikifeli Plan A jaribu kutumia Plan B..
Nadhani Baada Ya Kubadilisha Mfumo tu Wa Timu basi Matunda Yanaonekana...
Laiti Klopp asingelikuwa Kiburi Tokea Mwanzo wa Ligi Basi Tusingelikuwa Hapa Tulipo...

Klopp ni Kocha Mzuri Sana Lakini Simpendi Kwa Sababu ya UKAIDI WAKE na KIBURI CHAKE..

Kiukweli Napenda Liverpool ibakie Chini ya Klopp Kwasababu akitimuliwa sijui ataletwa Mjinga gani aje Kutuudhi.. Lakini Rohoni Mwangu Bado Sijampenda Mpaka Atakapobadilika na Kuamini Kama MPIRA NI KIPAJI NA WALA SI KWENDA MBIO HOVYO
ni kweli kiburi na ujeuri vys huyu mjeramani ni zaidi..yaani anachokiamini yeye ndio hivyo tu...aliambiwa bila kua na kipa wa uhakika na mabeki madhubuti ni ngumu kuchukua ubingwa ila sasa jeuri yake akutuletea Chamberline n.k...
kwa kweli asipobadilika sioni msimu ujao akiwepo Anfield...
 
To be Honest! Mkuu Kiurafiki Kabisa Naomba Unipe Sifa Mbili Za Hendo Zinazomthibitisha Kuwa Yeye Ni Mpambanaji?
Na Sifa Moja tu inayomthibitisha Kuwa Yeye Anastahiki Kuwa Cptain...

Naomba unijibu.
yupo athletic and mobile kwa sifa hizi mbili na mfumo wa 4-3-3 Klopp anamhitaji...timu akishambulia yumo katikati ya uwanja kusubiri rebounds ball...
kwa kapteni wa team hii ni zali tu mkuu...na ukumbuke alisajiliwa kuja kumridhi Gerrand kwa bahati mbaya viatu vya Gerrand alishashindwa kuzivaa...
huyu anatakiwa awe sub sema kwa sasa kocha na majeraha hana mbadala...ngoja tusubiri Keita akija na kama Charmbelin ata adapt vizuri tuone kama namba Hendo ataedelea kuipata msimu ujao
 
Kwa Ulichokieleza Sina Comments nacho Coz Si Katika Sifa Za Difensive Midfielder (Kitaalamu Tunamwita Half-Back Six)...

Tukija Kwenye Sifa Ya Difensive Midfielder (Half-Back Six) Hendo Hana Hata Sifa Moja...

Sifa Zenyewe alizokosa ni:-
1) Hawezi Kucheza Tackles na Ni Mdhaifu mno Kwa Hill..
2) Hana Uwezo Wa Kuisaidia Beki Wakati Tunaposhambuliwa hali inayopelekea Kuconcede Magoli ya Mingi Ya Kizembe..
3) Hawezi Kuprovide Cover Kwa mabeki na Hatimae Anwaacha Kuwa Exposed dhidi ya Washambuliaji...
4) Anashindwa Kuiuganisha Timu Pale Katikati na Kuwapa Kazi Kubwa Zaidi Gini na Can Kumzibia Majukumu Yake...
5) Anamuexpose Moreno Na Kuonekana Mbovu! Hii ni kwasababu Moreno Ni Beki 3 Mshambuliaji, Kwahiyo Anapopanda na Mpira Kwenda Kushambulia Yeye Hendo Akiwa Kama Namba 6 Anatakiwa Awe Nyuma Yake Kuprovide Cover Kwasababu Timu Yetu Haichezeshi Winger Kibendera Bali Winga Wetu Huingia Kati Kama Midfielder! Lakini Hendo Hatoi Ushirikiano Kwa Moreno Na Kupelekea Moreno Akipanda na Mpira basi Position Yake ya Namba 3 ni Rahisi Kupitwa na Adui..
6) Na Hasaidii Timu Katika Kupeleka Mashambulizi Kwani Hupiga Pasi Nyingi Uwanjani Lakini Ni Za Pembeni Hasahasa Huwapigia Gini-Can-Matip-Moreno-Gomez na Si Forward to attack..

KAKOSA SIFA YA KUWA CAPTAIN ILA UENGEREZA WAKE NDIYO UNAOMBEBA

  • Anashindwa na Hawezi Kabisa Kuhamasisha Wachezaji na Hupotea Kabisa Timu inapozidiwa kiasi ya Kwamba Humkuti hata Akiongea na Wachezaji...
Baadhi ya Wachambuzi Husema "HENDO IS A WORST CAPTAIN IN A LIVERPOOL HISTORY"
 
Sometimes Kocha Analazimika Kuwa Jasiri kwa Kufanya Maamuzi Magumu Yenye Maslahi na Timu..

Miongoni mwa Mabeki Niliowakubali na Wenye Uzoefu na EPL mmoja wapo ni David Luiz...

Lakini Ukiangalia Ndani Ya Kikosi Cha Chelsea Kuna Beki asiyekuwa na Uzoefu Wowote wa Kucheza Timu Kubwa EPL
lakini ni very Talented...

Sasa Jana A. Conte Kwa Makusudi Alimueka Benchi David Luiz na ikapelekea Wadadisi pamoja na Mashabiki Kuhoji maamuzi ya Conte kuwa Je, Kafikiri nini Kutomchezesha Beki Mwenye Uzoefu na Big Match badala Yake anamchezesha Beki asiye na uzoefu wowote na big match?

Jibu ni rahisi tu! Mtazamo wa Conte kaona mbali! Je iwapo Beki huyu asie na Uzoefu ataendelea Kuishia Kucheza Mechi za League Cup na FA na Kukosa Uzoefu wa EPL huku Cahil na Luiz umri unaendea Kuwatupa Mkono ni Nani atakaekuja Kuwa Backup yao?

Ndiyo pale Conte akaamua Kumchezeaha Christensen Na Kumueka Juu D. Luise bila ya Kujali Mashabiki na Wachambuzi Watasemaje ili Kunusuru Kipaji Chake Kinachoelekea Kuwa Next Season atakuwa ni Beki Tishio...

Hivyo Ndiyo Kocha anavyotakiwa Kuwa na sio Kiburi!
Leo Nashangaa Kuwa Kwenye Timu yetu Lovren The Most Hated player by Liverpool Fans eti haiwezekani Kuchezeahwa Mbadala Wake...

Klopp alimtrain Trent Kama Full back right na akaanza KuAdapt Vizuri tu na Mchezo! Sasahivi Yupo Wapi? Ukweli usiofichika Dogo Trent ni Very Talented na anastahiki Kupewa Game time..

Klopp alimtrain Gomez kama CB! Sasahivi Ameamua Kuuwa Kipaji cha Trent na Kwa Kumhamishia Gomez RB.. Lengo ni Kuilinda Nafasi ya Lovren dhidi ya Gomez kwani Dogo pale CB iwapo atapata More Game time basi Angelikuwa ni New Carra.. Lakini wapi! Kiburi cha Klopp kwa Mashabiki Kimemfanya aone Hakuna Beki Bora kama Lovren...
 
Kama amekubali kubadilika hasa kwa mechi hizi mbili atabadilika tu kwenye gemu zijazo.
Nilifurahi sana kumuona Firmino akishuka chini kutafuta mipira, akiwachungulia wenzake hata kujaribu kuwakimbiza. Work rate yake kwa jana ilikuwa nzuri. Nahisi yeye alikuwa hatari zaidi akiwa hana mpira kuliko alipokuwa na mpira...
Mapumziko haya mafupi JK anaweza kuyatumia vyema let's hope so.
 
Sometimes Kocha Analazimika Kuwa Jasiri kwa Kufanya Maamuzi Magumu Yenye Maslahi na Timu..

Miongoni mwa Mabeki Niliowakubali na Wenye Uzoefu na EPL mmoja wapo ni David Luiz...

Lakini Ukiangalia Ndani Ya Kikosi Cha Chelsea Kuna Beki asiyekuwa na Uzoefu Wowote wa Kucheza Timu Kubwa EPL
lakini ni very Talented...

Sasa Jana A. Conte Kwa Makusudi Alimueka Benchi David Luiz na ikapelekea Wadadisi pamoja na Mashabiki Kuhoji maamuzi ya Conte kuwa Je, Kafikiri nini Kutomchezesha Beki Mwenye Uzoefu na Big Match badala Yake anamchezesha Beki asiye na uzoefu wowote na big match?

Jibu ni rahisi tu! Mtazamo wa Conte kaona mbali! Je iwapo Beki huyu asie na Uzoefu ataendelea Kuishia Kucheza Mechi za League Cup na FA na Kukosa Uzoefu wa EPL huku Cahil na Luiz umri unaendea Kuwatupa Mkono ni Nani atakaekuja Kuwa Backup yao?

Ndiyo pale Conte akaamua Kumchezeaha Christensen Na Kumueka Juu D. Luise bila ya Kujali Mashabiki na Wachambuzi Watasemaje ili Kunusuru Kipaji Chake Kinachoelekea Kuwa Next Season atakuwa ni Beki Tishio...

Hivyo Ndiyo Kocha anavyotakiwa Kuwa na sio Kiburi!
Leo Nashangaa Kuwa Kwenye Timu yetu Lovren The Most Hated player by Liverpool Fans eti haiwezekani Kuchezeahwa Mbadala Wake...

Klopp alimtrain Trent Kama Full back right na akaanza KuAdapt Vizuri tu na Mchezo! Sasahivi Yupo Wapi? Ukweli usiofichika Dogo Trent ni Very Talented na anastahiki Kupewa Game time..

Klopp alimtrain Gomez kama CB! Sasahivi Ameamua Kuuwa Kipaji cha Trent na Kwa Kumhamishia Gomez RB.. Lengo ni Kuilinda Nafasi ya Lovren dhidi ya Gomez kwani Dogo pale CB iwapo atapata More Game time basi Angelikuwa ni New Carra.. Lakini wapi! Kiburi cha Klopp kwa Mashabiki Kimemfanya aone Hakuna Beki Bora kama Lovren...
binafsi hua sielewi Lovren anaweza kupats namba kila mechi kama sio majeruhi wakati ni mzigo na hana maelewano ya kiuchezaji na mabeki wenzie...huyu angeodoka Sakho abakie basi ujeuri wa huyu kocha..
Klopp angewatumia hawa makinda mpaka sasa wangekua wapo vizuri sna maana wange adapt
Chelsi pamoja na kuchukua ubingwa last seson na bila John Terry ki vile walikwenda wakasajiki mabeki wawili na kumrudisha huyu Chris ambaye ana adapt vizuri mikiki ya EPL...
ushindani wa ligi ya UK unahitaji timu yenye mabaki imara kwa kweli sio hawa wa Klopp hawatabiriki mechi hii wanakupa ushindi mechi ijayo kipigo...
 
Kwa Ulichokieleza Sina Comments nacho Coz Si Katika Sifa Za Difensive Midfielder (Kitaalamu Tunamwita Half-Back Six)...

Tukija Kwenye Sifa Ya Difensive Midfielder (Half-Back Six) Hendo Hana Hata Sifa Moja...

Sifa Zenyewe alizokosa ni:-
1) Hawezi Kucheza Tackles na Ni Mdhaifu mno Kwa Hill..
2) Hana Uwezo Wa Kuisaidia Beki Wakati Tunaposhambuliwa hali inayopelekea Kuconcede Magoli ya Mingi Ya Kizembe..
3) Hawezi Kuprovide Cover Kwa mabeki na Hatimae Anwaacha Kuwa Exposed dhidi ya Washambuliaji...
4) Anashindwa Kuiuganisha Timu Pale Katikati na Kuwapa Kazi Kubwa Zaidi Gini na Can Kumzibia Majukumu Yake...
5) Anamuexpose Moreno Na Kuonekana Mbovu! Hii ni kwasababu Moreno Ni Beki 3 Mshambuliaji, Kwahiyo Anapopanda na Mpira Kwenda Kushambulia Yeye Hendo Akiwa Kama Namba 6 Anatakiwa Awe Nyuma Yake Kuprovide Cover Kwasababu Timu Yetu Haichezeshi Winger Kibendera Bali Winga Wetu Huingia Kati Kama Midfielder! Lakini Hendo Hatoi Ushirikiano Kwa Moreno Na Kupelekea Moreno Akipanda na Mpira basi Position Yake ya Namba 3 ni Rahisi Kupitwa na Adui..
6) Na Hasaidii Timu Katika Kupeleka Mashambulizi Kwani Hupiga Pasi Nyingi Uwanjani Lakini Ni Za Pembeni Hasahasa Huwapigia Gini-Can-Matip-Moreno-Gomez na Si Forward to attack..

KAKOSA SIFA YA KUWA CAPTAIN ILA UENGEREZA WAKE NDIYO UNAOMBEBA

  • Anashindwa na Hawezi Kabisa Kuhamasisha Wachezaji na Hupotea Kabisa Timu inapozidiwa kiasi ya Kwamba Humkuti hata Akiongea na Wachezaji...
Baadhi ya Wachambuzi Husema "HENDO IS A WORST CAPTAIN IN A LIVERPOOL HISTORY"
nimekupata mkuu
 
LIVERPOOL NA INTER ZINAMTAKA DAVID SILVA

Liverpool na Inter Milan zinatamani kumsajili kiungo wa Manchester City David Silva, kwa mujibu wa The Sun .
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 31 ameanza mazungumzo na City kuhusu mkataba mpya, mkataba wake wa sasa ukitarajiwa kufika ukomo 2019.
 
CAN KUONDOKA BURE LIVERPOOL?

Emre Can anaelekea kuwa mchezaji huru baada ya mazungumzo yake na Liverpool kuhusu mkataba mpya kuenda mrama, limedai Daily Mail .
 
aodoke tu wakati mwingine ndogo anapotea na pia hukaa na mpira kupitiliza...atafungua milango kwa wengine kuja
 
Mkuu Katika Timu Kuna Kitu Kinaitwa "[HASHTAG]#Backup[/HASHTAG]"...
Sasa timu Yetu Tunamleta Keita! Huyu Keita in case of injury ni lazima Awepo Backup Wake Wa Kucover Nafasi!! Na it is obviously Backup wake ni lazima awe Emre Can! Sasa atakapoondoka Can tutarudi pale pale Backup ya Keita atakuwa ni Hendo... Kwahiyo Mimi Sitapenda Can AonAondoke...

Halafu vile vile Can ataongeza Depth katika Midfield (Central Defensive & attacking)....

Depth ni muhimu sana hasa wakati wa injury... Kwahiyo Keita ni lazima apate msaidizi...
 
ni kweli kiburi na ujeuri vys huyu mjeramani ni zaidi..yaani anachokiamini yeye ndio hivyo tu...aliambiwa bila kua na kipa wa uhakika na mabeki madhubuti ni ngumu kuchukua ubingwa ila sasa jeuri yake akutuletea Chamberline n.k...
kwa kweli asipobadilika sioni msimu ujao akiwepo Anfield...

Atoke Klopp mwakani aje Bilic?
Aje nani sasa?
Klopp hawezi toka Liverpool kwa miaka ya hivi karibuni
 
Gerrard on Can:
"If I was him, I’d sign the deal, the manager that believes in you, you’re a regular & Liverpool have helped him improve."

23167702_1992702507673900_8089889814317125643_n.jpg

Hii issue ya Can Kuto Kusaini Mkataba Mpya Watu Wanaichukulia Poa Kwa Sababu tu ni everage Player, lakini ukweli ni kwamba ni serious issue Coz Timu Hata Kama itakuwa Na World-Class Players basi na everage Players lazima wawepo kwa Ajili ya Backup!

Tukumbuke Kuwa Natural Position ya Emre Can ni Fefensive Midfielder, So kuondoka Kwake na Kuja Kwa Keita Kutaondosha Kabisa Depth katika Nafasi Hiyo....
Hatutokuwa na Backup badala Yake Hendo atarudi ulingoni kama Kawa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom