Any updates kuhusu wachezaji wetu walio majeruhi? Any one?
Wakuu habari naskia matip atakosa game ya leo?
Huyu dogo ni wakati wake now ....acheze CBDah, Lovren tena! Hivi jamani, Gomez hawezi kabisa kuokoa jahazi? Hatuwezi kumwamini huyu dogo?
Tunakuja huku wikiendi ijayo...!!! [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]
Futa hii kauli mkuu. Utachezea nyingi sanaChelsea hawa wenye forwards GAY?
Hawawezi mfunga Liverpool popote pale
Weka kumbukumbu tu mkuu...wiki ijayo si mbali kiivyoFuta hii kauli mkuu. Utachezea nyingi sana
Tunakuja huku wikiendi ijayo...!!! [HASHTAG]#CFC[/HASHTAG]