Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,910
- 11,316
Dah, Lovren tena! Hivi jamani, Gomez hawezi kabisa kuokoa jahazi? Hatuwezi kumwamini huyu dogo?
Ukiwa na fit wote wale watatu mbele!
Week ijayo akija Lallana!
Hata ww unaweza cheza sentahafu na tusifungwe