Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goals in first 17 Liverpool appearances:

Mo Salah = 12
Fernando Torres = 11
Luis Suarez = 7

22552596_1984678185142999_2135052696869041803_n.jpg
 
Gerrard on Can:
"If I was him, I’d sign the deal, the manager that believes in you, you’re a regular & Liverpool have helped him improve."

View attachment 625818

Hii issue ya Can Kuto Kusaini Mkataba Mpya Watu Wanaichukulia Poa Kwa Sababu tu ni everage Player, lakini ukweli ni kwamba ni serious issue Coz Timu Hata Kama itakuwa Na World-Class Players basi na everage Players lazima wawepo kwa Ajili ya Backup!

Tukumbuke Kuwa Natural Position ya Emre Can ni Fefensive Midfielder, So kuondoka Kwake na Kuja Kwa Keita Kutaondosha Kabisa Depth katika Nafasi Hiyo....
Hatutokuwa na Backup badala Yake Hendo atarudi ulingoni kama Kawa..
Emre is sending a message

Kumweka Henderson kama DM sio sahihi... kachoka na ubabaishaji wa liverpool set up
 
Emre is sending a message

Kumweka Henderson kama DM sio sahihi... kachoka na ubabaishaji wa liverpool set up

Can Ni Miongoni Mwa Wachezaji Waliobahatika Kuwa Regular Player! Kwa Hiyo Haondoki Kwa SababuYa Ubabaishaji! Kuna Mengi Yanayompelekea Aondoke Liverpool..

Moja Wapo Ni Kuwa Benchi la Ufundi Halimpi Priority Katika Mipango yake Ya baadae! Ni wazi Kuwa Katika Long project Ya Klopp Can Hayumo Ndiyomana Hana Ushawishi wowote wa Kumboreshea Mkataba Wake...

Kwahiyo Can Anaondoka lakini Klopp kamnyamazia Kimya Hafanyi Jitihada Yoyote Ya Kumzuia wala Hana Nia Ya Kumzuia!
Last Season Alitofautiana na Wakala Wa Can Kuhusu Release Clause tu Ya Mkataba Mpya basi Klopp akagoma Kumfanyia Marekebisho na Can akashindwa Kusaini Mkataba Mpya..

Kiukweli si Can aliyekuwa Haitaki Liverpool, Bali ni Liverpool Ndiyo Haimtaki Can...

Na sababu Kubwa Ni kuwa Klopp Anahisi Depth ya Average Players Katika Defensive Midfielders imeshakuwa Kubwa...

Kumbuka Katika Mid Hapo Pana Hendo, Gini, Keita na AOC anaweza pia...

So Kahisi Kumbakisha na Can itakuwa Ni Mrundikano tu..

KIUKWELI UJIO WA KEITA NDIYO UNAMUONDOSHA CAN KAMA ILIVYOKUWA UJIO WA GINI ULIMUONDOSHA LUCAS..
PIA KUNA UWEZEKANO MKUBWA AOC AKAMUONDOSHA GINI...
 
Atoke Klopp mwakani aje Bilic?
Aje nani sasa?
Klopp hawezi toka Liverpool kwa miaka ya hivi karibuni
hehehe Bilic si wa level ya Kops side....mafanikio ya timu ni kuleta vikombe sio vinginevyo...kama nae asipoleta hivyo vikombe atambae tu...
 
Mkuu Katika Timu Kuna Kitu Kinaitwa "[HASHTAG]#Backup[/HASHTAG]"...
Sasa timu Yetu Tunamleta Keita! Huyu Keita in case of injury ni lazima Awepo Backup Wake Wa Kucover Nafasi!! Na it is obviously Backup wake ni lazima awe Emre Can! Sasa atakapoondoka Can tutarudi pale pale Backup ya Keita atakuwa ni Hendo... Kwahiyo Mimi Sitapenda Can AonAondoke...

Halafu vile vile Can ataongeza Depth katika Midfield (Central Defensive & attacking)....

Depth ni muhimu sana hasa wakati wa injury... Kwahiyo Keita ni lazima apate msaidizi...
hivi Grujic hawezi kua developed awe offensive mildfilder...ishu ya Can imekaa sana mezani mkuu tangu msimu uliopita...ndogo yupo verstile ukimuweka beki,kiungo chochote anacheza poa tu ila sasa kama anahitaji kubaki basi abaki sio kuedelea na mazungumzo haya mpaka mwezi wa sita tena...
 
Goals in first 17 Liverpool appearances:

Mo Salah = 12
Fernando Torres = 11
Luis Suarez = 7

View attachment 625819
na ndogo angekua na mashuti kma ya Messi mpaka sasa angekua na goli 17...kama mechi ya Ganaz alitakiwa afunge hat trick...akiweka bidii anavyo kimbia na mpira aongeze nguvu kwenye mashuti mpaka msimu unaisha atakua na 20+ kwenye EPL pekee
 
Can anataka WC Russia
Akija Lallana anajua atashuka ktk picking order!
Mwache aamue anacho dhani ni sahihi
 
Can anataka WC Russia
Akija Lallana anajua atashuka ktk picking order!
Mwache aamue anacho dhani ni sahihi

Mkuu Lallana ni Mido Moja Nzuri sana! Lakini Usisahau Kuwa Lallana ni Gari Ya Mkaa! Ni Lazima Utembee Spana Mkononi....

Lallana Katika Mechi 38 za Msimu wa EPL hatimizi hata Nusu Yake (19) Kucheza kutokana na injury za Mara Kwa Mara! Kwahiyo Career Ya Lallana IPO hatarini Kucollapse kutokana na Kuwa ni Prone injury...

So Lallana sichezaji Wa Kumtegemea Wakati Hatuna Uhakika na Uzima Wake... So, ni Muhimu Kumbalisha Gini Kwa ajili ya Kutoa Challenge Katika Midfield area..
 
hivi Grujic hawezi kua developed awe offensive mildfilder...ishu ya Can imekaa sana mezani mkuu tangu msimu uliopita...ndogo yupo verstile ukimuweka beki,kiungo chochote anacheza poa tu ila sasa kama anahitaji kubaki basi abaki sio kuedelea na mazungumzo haya mpaka mwezi wa sita tena...

Grujic Sidhani Kama Kunadalili ya Kisuccess Ndani Ya Liverpool...

Dogo alikuja Na ari Lakini Klopp Kamlet down kwa Kitokumuamini...

Kwavile Timu Yetu Ni Timu Yenye Midfielders Wengi Kuliko Timu Yoyote EPL, sidhani Kama Grujic ana nafasi Ya Kudevelop...

OUR MIDFIELDERS:

  • Hendo
  • Can
  • Gini
  • Milner
  • Lallana
  • Coutinho
  • Firmino
  • Chamberlain
  • Mane
  • Salah
  • Woodburn
  • Grujic
  • Ejaria
  • Ojo
  • Keita (Next season)
 
Kwahiyo Hapo pana Kila dalili ya Kuwa Grujic hana Maisha Marefu Ndani ya An field..

Na ndiyomana Ujio Wa Keita Unawatisha Wengi ndani ya Liverpool...

Na iwapo Klopp atabid kwa Thomas Lemar na akafanikiwa Kumsajili basi Huenda Gini naye Tukamkosa kwani Uengereza na Ufungaji Huenda Ukambeba AOC mbele ya Gini...
 
Can Ni Miongoni Mwa Wachezaji Waliobahatika Kuwa Regular Player! Kwa Hiyo Haondoki Kwa SababuYa Ubabaishaji! Kuna Mengi Yanayompelekea Aondoke Liverpool..

Moja Wapo Ni Kuwa Benchi la Ufundi Halimpi Priority Katika Mipango yake Ya baadae! Ni wazi Kuwa Katika Long project Ya Klopp Can Hayumo Ndiyomana Hana Ushawishi wowote wa Kumboreshea Mkataba Wake...

Kwahiyo Can Anaondoka lakini Klopp kamnyamazia Kimya Hafanyi Jitihada Yoyote Ya Kumzuia wala Hana Nia Ya Kumzuia!
Last Season Alitofautiana na Wakala Wa Can Kuhusu Release Clause tu Ya Mkataba Mpya basi Klopp akagoma Kumfanyia Marekebisho na Can akashindwa Kusaini Mkataba Mpya..

Kiukweli si Can aliyekuwa Haitaki Liverpool, Bali ni Liverpool Ndiyo Haimtaki Can...

Na sababu Kubwa Ni kuwa Klopp Anahisi Depth ya Average Players Katika Defensive Midfielders imeshakuwa Kubwa...

Kumbuka Katika Mid Hapo Pana Hendo, Gini, Keita na AOC anaweza pia...

So Kahisi Kumbakisha na Can itakuwa Ni Mrundikano tu..

KIUKWELI UJIO WA KEITA NDIYO UNAMUONDOSHA CAN KAMA ILIVYOKUWA UJIO WA GINI ULIMUONDOSHA LUCAS..
PIA KUNA UWEZEKANO MKUBWA AOC AKAMUONDOSHA GINI...
I think kumweka Ox, Hendo na Gini kama DM ni kosa kubwa kwa Klopp

Hendo is not good defensively, Gini is good going forward, Ox is never a DM....

Emre and Keita would offer something better than Keita with anyone else (waliopo kwenye timu)

maybe anamuandaa Grujic kurithi

Otherwise tutakua tumefanya makosa kama yale ya kuuza joe allen tukitegemea hendo ataimprove
 
Yah Uposahihi! Lakini Kuhusu Gini hata last Season Mechi za Mwanzoni Hendo alipokuwa injury alichez kama DM...

Hata hivyo Klopp Hachelewi Kumconvert Mtu kwa Kumpa New role....

* Mfano Kumtoa Milner From Winga/Midfielder to Fullback left...
* Coutinho From Left Winger/Wide Foward to Central attacking Midfielder (Namba 8)..
* Trent Alexander Anorld from Defensive Midfielder to Fullback right...
* Gomez from Centre Back to Fullback Right..
* S. Mane from right Wing to 2nd Centre Foward (Behind Firmino)

Kwahiyo Hata AOC anaweza akampa new role (DM) na akamforce Kuadapt...

Lakini Naini iwapo Combination ya Keita-Can itacheza Pamoja Basi Ndani Ya Msimu Mzima wa EPL hatutaconcede Goli Zaidi ya 15...

But Kwa Hendo-Gini tutegemee Kuconcede more than 45+...
 
Grujic Sidhani Kama Kunadalili ya Kisuccess Ndani Ya Liverpool...

Dogo alikuja Na ari Lakini Klopp Kamlet down kwa Kitokumuamini...

Kwavile Timu Yetu Ni Timu Yenye Midfielders Wengi Kuliko Timu Yoyote EPL, sidhani Kama Grujic ana nafasi Ya Kudevelop...

OUR MIDFIELDERS:

  • Hendo
  • Can
  • Gini
  • Milner
  • Lallana
  • Coutinho
  • Firmino
  • Chamberlain
  • Mane
  • Salah
  • Woodburn
  • Grujic
  • Ejaria
  • Ojo
  • Keita (Next season)
Ejaria ndogo kipaji kipo....bsi wamtoe kwa mkopo..si unaona Suso baada ya kwenda Milan kapata nafasi za kucheza nyingi na kipaji kimeanza kuonekana...
 
Huyu dogo huu Ndiyo Muda Wake Wa Kupewa Mechi Nyingi Zaidi ili akomae Haraka Na apate hile Game Fitness kabla Benchi Halijamflop....
Hawa Academy graduated Sana umuhimu Wa pekeyake Katika Timu hasa wanapokuwa Talented Kama huyu..

23172916_1993131447631006_2923029241148978084_n.jpg
 
RB Leipzig Yasema Katu Haitomruhusu Naby Keita Kuungana na Liverpool Wakati Wa January na Badala Yake Ataruhusiwa Wakata Wa Majira Ya Joto (Summer) Ndiyo aungane na Liverpool Kwani Wanataka Wafuzu Mashindano Ya EUROPE next season Na Wanamtegemea Keita Katika Kufanikisha Hilo.

IMG_20171108_185717.jpg
 
Source: LIVERPOOL ECHO

Le 10 Sport, over in France, suggest Paris St-Germain want Philippe Coutinho - and it’s all because of Neymar’s recommendation.

Me 10 Sport imeripoti Kwamba PSG inampango Wa Kumsajili FC baada Ya Kupokea Mapendekezo Kutoka Kwa Rafiki Wa Karibu Wa FC ambaye Ni Neymar...

Ikumbukwe Kwamba Neymar huyuhuyu Ndiye Aliyeanzisha Rumors za FC kumshawishi aende Barca! Sasahivi ameanzisha Nyengine Kwa PSG.

Si mbaya Sana Kwa Neymar Kuwa Dalali Wetu Kwani Baada ya Zile £130m za Barca Kukataliwa, Sasahivi watapata Challenge Kutoka Kwa PSG na Watashindana Kibei ili Tupate Mpunga Mwingi Zaidi...
Na atakapoingia tu Kubid PSG Ni obviously Kuwa Barca atakaa Pembeni manake hana uwezo Wa Kufurukuta Mbele ya PSG.
 
Kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, ataitaka klabu hiyo kukataa ombi lolote kutoka kwa PSG huku mchezaji huyo wa Brazil akitafuta kujiunga na Barcelona. (Sport via Daily Mail)
 
NEWCASTLE INAMTAKA STRAIKA WA LIVERPOOL

Meneja wa Newcastle Rafa Benitez anataka kumsajili mshambuliaji wa Liverpool Danny Ings kwa uhamisho wa mkopo dirisha la Januari kwa mujibu wa Evening Chronicle .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom