Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Roy Keane: "If Liverpool were playing in my back garden I wouldn't watch them."
“Come the end of the season when the prizes are given out, Liverpool will be nowhere near them. They’re drifting nowhere.”

To be Honest Roy Kean alikuwa Professional Player Hawezi Sema Maneno Hayo Hata Siku Moja!
Ni Wazi Kuwa Hayo ni Man U
Fans Twitter Media War na wala sio Quote ya RK.

RK anaweza Kuungana na Mapundit Kama Henry, Neville, Carra na Owen KuCriticise tu na Wala si Kumock kama hivyo..
 
Roy Keane: "If Liverpool were playing in my back garden I wouldn't watch them."
“Come the end of the season when the prizes are given out, Liverpool will be nowhere near them. They’re drifting nowhere.”
huyu Roy hua mdomo wake hauna brake..
 
Klopp iwapo Ataacha Kiburi na Timu Akaitafutia Striker, Nakuhakikishia EPL tutaichukua Bila Ya Kutiwa Pressure Ni Timu yoyote...
 
Klopp iwapo Ataacha Jeuri Na Timu Akaitafutia Beki, Nakuhakikishia Tunachukua Ubingwa wa EPL Ndani Ya Miezi 6 Bila Ya Kupoteza Mchezo Hata Mmoja....
 
Yaani Hapa Ni Namba Tu Ndiyo Za Kucheza Nazo ili Klopp awe World Class Coach Kama Kina Girdiola, Morinho, LVG, Wenger, Ancelotti, RB n.k.

1) Atafute World Class Striker ambaye atadestroye Defence za Timu Ambazo ni Bus-Parking...

2) Atafute Centre Back Ambaye Atastop Zile Concede za Kizembe..

Kuanzia Hapo Basi Klopp aoge Mafanikio tu! Venginevyo basi Asubiri Pressure ya Media na Mashabiki.
 
Mkuu Hakuna Kitu Ninachokichukia Kama International Manake Ndio Kinachosababisha Wachezaji Kuwa injury...

Mimi Nina Wasiwasi na Sadio Mane Atakapokwenda Senegal..
oooo kumbe Senegal hawajamaliza mechi za kombe la dunia...kweli hapo imekaa mbaya...nwa kwa vile Lallana n C10 wanarudi kidogo kikosi kitakua imara na wanaokwenda wasipate majeraha
 
Tunaanza kuelekea kwenye peak
Lallana ananza kesho kucheza na wenzake!
Coutihno pia anarudi na Soton
Tuonbee tu hizi international break warudi salama
Viva Klopp
Jana Klopp katumia 4-4-2...hii angeitumia tangu mechi ya Man City naamini tungepata matokeo kama ya jana..natarajia hatarudi tena 4-3-3 hivi karibuni maana imetugharimu sana msimu huu
 
Klopp iwapo Ataacha Jeuri Na Timu Akaitafutia Beki, Nakuhakikishia Tunachukua Ubingwa wa EPL Ndani Ya Miezi 6 Bila Ya Kupoteza Mchezo Hata Mmoja....
huyu mjeremani ujeuri na kutosikiliza ushauri unatugharimu sana...yaaani anadhani hpa ni Dortmond kumbe ni Uingereza siku akiamka usingizini Liva itakua moto kweli kweli
 
huyu mjeremani ujeuri na kutosikiliza ushauri unatugharimu sana...yaaani anadhani hpa ni Dortmond kumbe ni Uingereza siku akiamka usingizini Liva itakua moto kweli kweli

What are you talking about?
Tupo sawa kwa sasa!
Lallana anacheza game ijayo
Coutihno anarudi pia
Hendo anarudi
Nobody want to face Liverpool right now!
 
Jana Klopp katumia 4-4-2...hii angeitumia tangu mechi ya Man City naamini tungepata matokeo kama ya jana..natarajia hatarudi tena 4-3-3 hivi karibuni maana imetugharimu sana msimu huu

Hii 4-4-2 alipaswa kuitumia mapema sana. Bado ana kikosi ambacho kinaweza kutupatia Diamond formation. .. nina hakika Firmino anaweza kutumika nyuma ya Sturridge kwani yeye ni ACM wa asili.....
Naamini tunaweza kumuona Suarez mpya. Huyu Hendo bana....sijui
 
Atolewe kwenye mfumo tu.. Hafai
 
What are you talking about?
Tupo sawa kwa sasa!
Lallana anacheza game ijayo
Coutihno anarudi pia
Hendo anarudi
Nobody want to face Liverpool right now!
binafsi naona pamoja na majeraha huu mfumo wa 4-3-3 unatugharimu maana timu pinzani wao wanatupiga counter attack na bila kiungo mkabaji wa uhakika na defence kama unavyoijua naona ni issu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom