[HASHTAG]#KloppIn[/HASHTAG][HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
Lucas amekuwa mchezaji muhimu sana kule Lazio,Wanafanya vizuri kwenye Serie A na Uropa LeagueI've not seen you for so long....thanks for coming back.
Hakika timu inachosha sana. Sijui kwa nini alimuuza Sakho na Lucas pia wakati hana natural DM
Kati panabaki na shimo kubwa kiasi kwamba CB wanaonekana wabovu kweli kweli.
Sijawahi kuona Captain wa ajabu kama JH..... Captain asiyejua kupanga wala kukemea watu wake. Simuoni Carragher wala Steven Gerald.
Hakika RB atabaki kuwa kocha bora wa miongo hii miwili.
Wewe qama umeshindwa qumfunga spurs unategemea nin qwenye epl. .[emoji23][emoji23][emoji23]Sisi sio Arsenal! Hatushiriki Ligi Kwa Kumfanyia Mtu Favor....
By The Way! Hivi Bado Nyie Shelshit Munatamaa ya Ubingwa?
Kwahiyo afungwe Spurs ili uwe Bingwa ama?
Wana uwezo uo sasaa.....watu walitapatapa tu uwanjani.Liver kazeni basi muwafunge hao spurs....Mbona sisi tuliwafunga
Klopp You Must Get Fvcking [HASHTAG]#Out[/HASHTAG] From our Club
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
#KloppOut
Lazima upate aqili mwaqa huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Klopp is fvcking Genius...
FSG do something! Klopp must Fvck Off now! It is enough...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pigaaaaaaa
Mkuu una moyo sana wa kumvumilia, mi sioni kama jamaa ana haja ya kubaki, he had that chance ktk hizo summer window mbili zilizopita, lakini hakuthubutu hata kuonesha kua ana solve defensive pbm kwa kusajili any top quality CB kwa pesa badala yake akaleta Matip kwa free na Klavan aliyejichokea. Mbaya zaidi summer hii wakati tunalilia beki ye anatoa pnd mil 35+ kumnunua Ox. Hivi uyu ni genius na top class manager kweli?am giving Klopp 2 windows (january and next summer) to fix the defense. failure to do that, and i'll be full Klopp out.
man, i thought this man ndiyo angeiokoa LFC from the midtable status. but again i was so wrong. he got poisoned by FSG and now ameanza kurealise shimo alilojichimbia kwa kukumbatia bums na policy za kipumbavu za FSG.
spot on, chief.Klopp is out of his depth..
Alipoondoka bogerman, it was hard to think kama kocha mwenye pedigree ya klopp wouldnt do much better, but in hindsight it turns out that we were outrageously blind in our optimism. Klopp is german version of Brendan. Wote wako deluded, stubborn and hawana tactical nous of top managers..problems zilizokua under brendan zipo apparent under klopp na i think we are becoming even worse.
Joe gomez kabla ya msim kuanza alitakiwa kua out on loan as he was returning from two years lay-off. But due to historical incompetence of klopp wa kutosajil atleast 2 cbs, it is not irrational to suggest kua gomez should be our first starting cb now.
Mignolet alitakiwa kua released instead kapewa new contract.. brendan mwenyewe aliemsain lovren alimdrop lovren ila klopp gave him an improved new contract(am lost for words) Henderson alitakiwa kua bench players since 3 years ago, milner alitakiwa kua in reserve team or u23 kbs, but msim wa 3 now under klopp and these guys are mainstay in our squad, this is beyond negligence, it is madness. Basically these guys form a spine of our team. It is sad state of affairs siamin kama we have stooped this low.
Our attack is either brilliant or mediocre, hamna middle ground. Na this ni kutokana na kutokua na focal point pale mbele. Firmino can be suarez in one game and voronin the next game. It was apparent kua we needed an established number 9 ila due to delusions za klopp, aliamin few preseasons outings za solanke kua we have a proper striker..
Now tuna one dimensional attack na iko predictable sana. Tunategemea salah kufanya his runs in behind. Iyo ndo trick pekee tulionayo. Firmino is not worrying the defenders as mda wote yuko deep. No wonder hatufungi now.
Klopp ameongeza variety ya style za ushangiliaji, idadi ya majeruh na idad ya magoli ya kufungwa..hamna kipya if we are being brutally honest.
Na before watu kuja na zile excuses kua ni FSG ndo wanamfelisha, ask urself this question, ni manager gani anaejielewa anawez kua na faith in the most error prone goalkeeper in epl(mignolet), one of the worst cb to play for lfc(lovren) halaf kua na weak captain and weak player kama hendo leading ur team..that's not fsgs fault...ni uzembe wa makocha tulio nao and please someone tell me what is buvac doing at the club now. And who gave him jina la brain?
hell NO...sorry mate.am giving Klopp 2 windows (january and next summer) to fix the defense. failure to do that, and i'll be full Klopp out.
man, i thought this man ndiyo angeiokoa LFC from the midtable status. but again i was so wrong. he got poisoned by FSG and now ameanza kurealise shimo alilojichimbia kwa kukumbatia bums na policy za kipumbavu za FSG.