Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kamuilize Malafyale
.
IMG-20171022-WA0056.jpg
IMG-20171022-WA0055.jpg
IMG-20171022-WA0057.jpg
 
Klopp ni kocha mzuri sana, ameifikisha Liverpool mbali. Anaetaka Klopp atimuliwe uyo sio shabiki wa Liverpool.
Klopp chapa kazi.
 
Liverpool will only win this league
1. Liverpool
2. Maribor
3. Maribor
4. Maribor
5. Maribor
6. Maribor
7. Maribor
8. Maribor
9. Maribor
10. Maribor
11. Maribor
12. Maribor
13. Maribor
14. Maribor
15. Maribor
16. Maribor
17. Maribor
18. Maribor
19. Maribor
20. Maribor
 
I've not seen you for so long....thanks for coming back.
Hakika timu inachosha sana. Sijui kwa nini alimuuza Sakho na Lucas pia wakati hana natural DM
Kati panabaki na shimo kubwa kiasi kwamba CB wanaonekana wabovu kweli kweli.
Sijawahi kuona Captain wa ajabu kama JH..... Captain asiyejua kupanga wala kukemea watu wake. Simuoni Carragher wala Steven Gerald.
Hakika RB atabaki kuwa kocha bora wa miongo hii miwili.

Sakho got axed because of his atitude. but Klopp amefail ku-address his absence..

Lucas wanted to leave, and nilifikiri kuna midfield anakuja but again i was wrong lol..

Klopp have had 4 transfer windows and today tumeshuhudia pivot ya Milner-henderson..unawezaje kufikiria kuwa jamaa anajua anachokifanya kwa hii pivot ya leo?
 
Simon Mignolet has made 13 errors leading to goals in the PL since making his Liverpool debut; three more than anyone else. Oops.
 
Ulijifanya Mbishi Sasahivi Unaanza Kukubali Mjinga Wewe!
Lakini hata utakapoamua Kufanya Maamuzi basi Utakuwa Too Late...

"Jurgen Klopp let slip his frustration with Dejan Lovren after a dreadful error from the Liverpool defender contributed to a painful 4-1 defeat at the hands of Tottenham"
.

[HASHTAG]#KloppOut[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom