lKuna Mshabiki Mmoja Humu Huwa Anaangalia Mpira Kwa Kutumia Miguu badala ya Macho! Kwahiyo Kila Msimu Huwa Anajitangazia Ubingwa..
Na Mara hii Pia Anatangaza Liverpool ni Bingwa! Sijui Bado Ana imani hiyo?
lol sawa babu
Cc. a.k.a Mzee wa majogoooKuna Mshabiki Mmoja Humu Huwa Anaangalia Mpira Kwa Kutumia Miguu badala ya Macho! Kwahiyo Kila Msimu Huwa Anajitangazia Ubingwa..
Na Mara hii Pia Anatangaza Liverpool ni Bingwa! Sijui Bado Ana imani hiyo?
Wiki ijayo liver anacheza na aliyewafunga nyie na nyie mnacheza na aliyemfunga liverWalitucheka sana jana ngoja leo waipate pate.
Huddersfield walikufanya kitu kibaya sana mpaka ukapotea jukwaa lako naona leo umeibuka kwenye jukwaa la hawa wazee wa historiaHahahaaaa asa kwani yeye ndiyo upo uwanjani.
Huddersfield walikufanya kitu kibaya sana mpaka ukapotea jukwaa lako naona leo umeibuka kwenye jukwaa la hawa wazee wa historia
"Lovren 'in a dark place"
Jamie Redknapp believes Dejan Lovren is “in a dark place” after today’s defeat.
The defender endured a nightmare afternoon that lasted just 32 minutes at Wembley.
“I feel sorry for Dejan Lovren,” said the former Liverpool captain.
“I don’t know where he is, but he’s in a dark place.”
Uzalendo kwanzaLiverpool tuizungumzie hii mechi yenu au tuongelee mambo ya Barrick??

Yani Klopp leo kamtoa mwenyewe mapemaaaaView attachment 614888
No Liverpool player has made more defensive errors (4) in the Premier League since the start of last season than Dejan Lovren.
Struggled.