Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Matip Leo Karudi Kwenye Fomu! ila Kilio chetu Kipo palepale Kuwa Klopp atutafutie Defender Ambaye atakuja Kusaidiana na Matip pale Kati...

Pia atuletee Defensive Midfielder ambaye atakuja Kuwacover Madifenders Wetu na Kuiunganisha Timu...
 
Mazafaka Antony Tailor.... Hili refa Bwenge Kweli.. Lazima Umanchester Wake Liulete Tu Kwenye Mechi Za Liverpool....

Penalt gani hile aliyotoa....!
Goli La Kwanza Katufungisha..
Katoa Penalt ili tufungwe goli la Tatu lakini Migno Kastop mbinu zake...
 
Katika Referee Niliyewahi Kumchukia Zaidi Katika Maisha Yangu ni Howard Webb, ila Kwa sasa Refaree Ninaowachukia Zaidi ni Mike Din na Antony Taylor
 
Once we win Klopp is a good coach
Once we loose Klopp out
Upuuzi mtupu
Liverpool is our team,Klopp is our coach!
 
Mazafaka Antony Tailor.... Hili refa Bwenge Kweli.. Lazima Umanchester Wake Liulete Tu Kwenye Mechi Za Liverpool....

Penalt gani hile aliyotoa....!
Goli La Kwanza Katufungisha..
Katoa Penalt ili tufungwe goli la Tatu lakini Migno Kastop mbinu zake...
Punguza ushabiki hata ile rafu ya Mane ulisema sio kadi na ule mpira alioshika Emre Can ilikuwa penati nyingine refa akapeta
 
Punguza ushabiki hata ile rafu ya Mane ulisema sio kadi na ule mpira alioshika Emre Can ilikuwa penati nyingine refa akapeta

Klopp OUT!
Ahahahaha huwa nacheka sana!
Klopp ni kocha sahihi kwa EPL
 
Once we win Klopp is a good coach
Once we loose Klopp out
Upuuzi mtupu
Liverpool is our team,Klopp is our coach!

Halafu wewe sijui niseme Una Mental Disorder!!!
Who said Klopp is a good Coach?? Mimi huwa ninaiombea Timu Mazuri, Lakini simuombei Mzembe (Klopp) Mazuri...

Kwanza Kumbuka Kuwa Mimi Sitiwi Upofu na Ushindi Wa Jana Kwasababu Ninajua Wazi Kuwa Furaha Ya Jana haina Maisha Marefu! Itafata Huzuni ya karibuni tu.....

Hivi unadhani ushindi wa jana Ndiyo umesolve matatizo yote ya Timu yetu????

Bado tatizo la WALINZI WETU KUZEMBEA (Goli la Pili) na TATIZO LA KIUNGO NKABAJI, PAMOJA NA TATIZOBLA UFUNGAJI (kwani tunatengeneza nafasi nyingi za wazi na kushndwa kufunga) Lipo pale pale...

Mkuu Timu bado sana kuwa Ya Ushindani! inahitaji mabadiliko....

Mkuu Klopp ni Hero kwako tu lakini sio Kwangu mimi.
 
Punguza ushabiki hata ile rafu ya Mane ulisema sio kadi na ule mpira alioshika Emre Can ilikuwa penati nyingine refa akapeta

Hapana! Sio Ushabiki bali ni uhalisia...
Kwa Chan Hakupeta Bali Refa Hakuona.. Kama Kupeta ni Linesman ama hakunyoosha Kibendera...

Lakini Goli la Okazaki (la kwanza) lina Makosa Matatu....

1) Kipa Alikamatwa Mkono asiruke Wakati anafata mpira (Cross)..

2) Kabla ya Kufungwa Goli Mpira Ulikuwa ni Handball kwa aliyetoa assist...

3) Chanzo cha Faulo Hakikuwa sahihi Kwani Matip alikuwa akifukuzana na Adui hatimae adui akajipinza na kumdanganya Refa akatumia Advantage ya chuki zake kwa Liverpool...

Kumbuka ANTONY TAYLOR KAZALIWA NDANI YA JIJI LA MANCHESTER na ni FAN WENU MKUBWA...
 
Mistake iliyofanyika ni Okazaki kumchezea faulu kipa hayo mengine hayana ukweli but kabla
Okazaki alifunga goli akiwa clear onside refa akakataa goli akasema amezidi the sama refa amepeta penati against Emre Can nashangaa wewe unalalamika refa amewaonea
 
1.Mignolet msenge mpira hajarudishiwa na beki na yuko eneo lake why asidake akaamua kumkwatua vardy??
2.kuhusu marefa mimi sio mlaumu marefa hata kama kazaliwa nyumbani kwa furgeson...nachojua mpira ni mchezo wa makosa. Na kila.timu inafaidika kivyake na makosa ya marefa. Tulimfunga man u 4-1 OT refa akiwa Webb na penat akatupa
3.Kloop ni kocha mzuri sema wachezaji ndio wana matatizo yao binafsi...sasa kama salah yuko na goli jeupe anapiga nje utasema shida klop? Kocha atakupa mbinu za mechi but sio kukushika.mguu kupasia nyavu...Beki lovren ana matatizo yake binafsi ya kupenda kujiamini kupitiliza...na mabeki wa liver wanauoga wa kuweka bodies on the line kama walivyokiwa akina callagher na hypia au sketel
 
Gemu ya jana imetafsiri ubovu wa mabeki wa Liverpool ..hii inaonyesha klopp anatakiwa kufanya namna ili kuondoa ili tatizo. Mbele yuko njema ila magoli mengi yanafungwa kutokana na ubovu wa beki zenu. Na hii ni oppotunitu kwetu sisi ...MORATA ni lazima afanye yake ili klopp ajue kuwa beki zake ni mbovu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom