Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hivi unaamini kabisa toka moyoni kuwa liverpool msimu huu itafanya vizuri kuliko msimu uliopita? Kama ndio hebu niambie ni kwa sababu gani kwa kuwa mapungufu niliyoyaona liverpool msimu uliopita bado nayaona na msimu huu, kwa nini msimu huu uwe tofauti ?
No doubt he has a Mental Disorder au atakuwa ni Mganga Wa Kienyeji mpiga Ramli aliyebeti anajipa Moyo asijechana Mkeka...
