No doubt The most powerful strike force in EPL ni Yetu Liverpool....
Huu muungano wa COUTINHO-SALAH-MANE-FIRMINO kiukweli ni hatari zaidi ya Timu yeyote hile ndani ya EPL..
Hakuna Timu ndani Ya EPL iliyo na attackers Hatari zaidi ya Liverpool...
Hakuna Timu Ndani Ya EPL inayotengeneza Nafasi Za Kufunga Nyingi Zaidi Kuliko Liverpool...
Hakuna Timu Ndani Ya EPL inaypiga Shots nyingi Golini kuliko Liverpool...
Lakini cha ajabu Ufungaji ni mdogo ukilinganisha na nafasi Tunazotengeneza....
Kila nafasi 10 tunazotengeneza basi uwezekano wa Kufunga ni Nafasi moja...
KWAHIYO KLOPP ANATAKIWA AFANYE NINI????:
Kuwepo kwa Coutinho-Mane-Salah-Firmino-Lallana-Gini-Woodban-Grujic-OX hakuhitaji Tena Klopp Kusaini Kiungo Mshambuliaji (Winga-attacking Midfielder) Kwani Hawa Wote ni Winga na Viungo....
Kwahiyo Ni Wazuri Wa Kumiliki Mpira, Kudrible na Kutengeneza Nafasi Za Kufunga kuliko kufunga wao wenyewe... Lakini Wote Ni Watengenezaji nafasi, Je mfungaji atakua nani???
Hapa Ndiyo Klopp Klopp anatakiwa Atatue Tatizo Kwa Kutafuta Talented Goal gator Ambaye ni Natural CENTRE FORWARD (STRIKER) ambaye katika Average ya Nafasi 6 zinatotengenezwa na Coutinho, 5 na Salah, 5 na Firmino, 5 na Mane, 4 na Gini/Lallana kwa kila Mechi aweze Kuzitumia kwa Kufunga....
Ni vizuri afuate nyayo za watangulizi wake:
1) Houlier alikuwa na Fowler/Owen/Baros
2) Benitez alikuwa na Smicer/Torres/Crouch...
3) Dalglish/Rogers walukuwa na Sturidge/Suarez...
Na Klopp anapaswa Kutafuta the likes of OWEN, TORRES and SUAREZ ili kuzitumia nafasi za wazi tunazozipoteza...
Why tusienge Kubid kwa Aubemyang Wakati Hajawa na Strong interest Kutoka Real au Barcelona???
MY TAKE:
"[HASHTAG]#REMEMBER[/HASHTAG] THAT KLOPP! BEFORE CHANGING LIVERPOOL FC, YOU HAVE TO CHANGE YOURSELF FIRST "