Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Messi hana furaha jinsi klabu yake inavyoendeshwa nashangaa Coutinho anatamani kwenda sehemu ambayo haina amani kwa wakongwe waliokulia pale.
 
Uliskiliza kipindi Klopp anatua Melwood at first time, aliweka wazi habari za ubingwa tumpe muda na ndo anachofanya sasa kutengeneza timu akiwa na watu hao hao unawaona leo ni average prayers believe me tutafanikiwa tukiwa naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikosi Kamili Kilichotajwa n Klopp Cha Wachezaji Walioorodheshwa Kwenye List ya Kucheza Champion League...

Full squad:
Loris Karius
Simon Mignolet
Danny Ward
Dejan Lovren
Joe Gomez
Ragnar Klavan
Alberto Moreno
Andy Robertson
Joel Matip
Jon Flanagan
Conor Masterson
Trent Alexander-Arnold
Gini Wijnaldum
James Milner
Philippe Coutinho
Jordan Henderson
Marko Grujic
Adam Lallana
Alex Oxlade-Chamberlain
Emre Can
Cameron Brannagan
Ovie Ejaria
Sheyi Ojo
Roberto Firmino
Mohamed Salah
Daniel Sturridge
Sadio Mane
Dominic Solanke
Ryan Kent
Rhian Brewster
Ben Woodburn
Harry Wilson/B]
 
Sheyi Ojo si yupo kwa mkopo?
 
Clyne anapona lini?!
 
Klopp anakosea sana kumnyima mchezaji uhuru wake ..tena asijaribu kumpiga bench kabisa, ndo ataharibu kila kitu. Cotinyo kaona mbele liver hakuna future kabisa ...

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app

 
Kikosi bora Uingereza ze Champion of England. Chelsea, hakika nawaambia. ..mvua ya magoli itawanyeshea.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app


Mara ya Mwisho Chelsea Kumfunga Liverpool ilikuwa ni JUMANNE 27th JANUARY 2015 katika Uwanja wa DARAJANI...

Sasa sijui ujasiri huo wa kusema utamfunga Liverpool umeupata wapi!!!!!!!
 
Sheyi Ojo si yupo kwa mkopo?

Mkuu ndiyo Shey Ojo na Ryan Kent Wapo nje ya Liverpool Kwa Mkopo! Lakini Timu Walizopelekwa Hazishiriki CL, kwahiyo Kwenye Kandarasi Yao Ya Mkopo Wanayo Option ya Kuweza Kuwaita Muda Wowote Watakapowahitaji Wawe kama ni Back up itakapotokea Timu Kuandamwa na injuries...
 
Sawa nimekuelewa, kwa nini Clyne hajajumuishwa?
 
Mara ya Mwisho Chelsea Kumfunga Liverpool ilikuwa ni JUMANNE 27th JANUARY 2015 katika Uwanja wa DARAJANI...

Sasa sijui ujasiri huo wa kusema utamfunga Liverpool umeupata wapi!!!!!!!
Huwezi ku compete kikosi cha Liverpool na Chelsea msimu huu. Ni wazi kabisa kikosi cha Chelsea kimehimarika kila idara kwanzia festi 11 mpka benchi. .

Liverpool ina tatizo kubwa la mabeki hivyo kuwapa kazi kubwa viungo ...mechi nying mmetufunga hasa msimu uliopita kwa msaada wa Cotinyo, na mmeshamzingua tiyari. ..msimu huu ni lazima mkubali kufungwa tu ...hakuna namna!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…