Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo ni siku ya furaha sana kwa wana Liverpool
Tumepata mwalimu mwenye ushawishi
OX tayari
Baadae anakuja Van Djiik na Lamar
Ubingwa ni wetu
Tutamuwahi kweli maana muda ndio huo unayoyoma, halafu kuna tetesi jamaa yupo ndani ya mji wa Liverpool deal laweza kamilika ngoja tuone.
 
Oxlade-Chamberlain in a Liverpool shirt

21106874_1963361847274633_2570853235928405243_n.jpg
 
Now Ujio wa OX ni kikwazo Kwa Can/Gini ama Atacheza Winga ya Kushoto...
Kuna uwezekano Mkubwa Wa Kumpoteza Can Msimu Ujao Coz Atakapokuja Keita na Tukaweza Kumsajili TL basi ni Wazi Kuwa Can/Gini/Hendo/Lallan Watakua ni Wachezaji wa FA na EFL tu....

Hata Hivyo Hapajawa na Uhakika Kuwa OX ataweza Kucheza Fist Team ama ataanzia Bench!!!!!
 
Juventus imejipanga msimu ujao kuleta ombi la kumsajili Can
 
wegman King Ngwaba Kidowle Malafyale wakuu naomba mnijuze nasikia dirisha la usajili Spain linafungwa kesho lakini England ni leo usiku.
Itakuwaje kwa Coutinho ikitokea FCB wakamuhitaji kesho wakati England litakuwa lishafungwa je, ataweza kuondoka?
 
Vipi Kuhusu Virgil V Djikd Kukataa Kwenda Chelsea na Kuitaka Liverpool? au Unataka kusema Chelshit haikuwahi kumtaka VVD? Kwanini hukilukomment Hili?
Siwezi nika comment kitu ambacho ni kweli, VVD rejected Chelsea for you, ila sio uongo mnaolishana eti Barcelona wanted keita and he chooses you ahead of dem.

Slippy Gerald, you served football.
 
wegman King Ngwaba Kidowle Malafyale wakuu naomba mnijuze nasikia dirisha la usajili Spain linafungwa kesho lakini England ni leo usiku.
Itakuwaje kwa Coutinho ikitokea FCB wakamuhitaji kesho wakati England litakuwa lishafungwa je, ataweza kuondoka?

Mkuu koncho77 , ni kweli spain dirisha lao huwa linafungwa Sept 1, kuhusu ili la uhamisho kusema wakimuhitaji Coutinho wakati England dirisha limefungwa sizani kama inawezekana kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba kila nchi dirisha lake la usajili linatakiwa liwe wazi, ingawa pia nimewahi sikia ili kumsajili mchezaji inatakiwa dirisha la usajili la timu anayoenda ndio liwe wazi. Subiri wadau wengine watakuja kuweka sawa kama nimekosea, Na PC usijali mkuu timu ishaweka msimamo kuwa hauzwi nukta.
 
Ahsante mkuu
 
Now Ujio wa OX ni kikwazo Kwa Can/Gini ama Atacheza Winga ya Kushoto...
Kuna uwezekano Mkubwa Wa Kumpoteza Can Msimu Ujao Coz Atakapokuja Keita na Tukaweza Kumsajili TL basi ni Wazi Kuwa Can/Gini/Hendo/Lallan Watakua ni Wachezaji wa FA na EFL tu....

Hata Hivyo Hapajawa na Uhakika Kuwa OX ataweza Kucheza Fist Team ama ataanzia Bench!!!!!
Can ilikuwa aondoke msimu huu kwenda Juve ndomana alikataa kuongeza mkataba wake unaoisha mwakani.Baada ya kumkosa Keita ambaye Klopp anaamini ndo right replacement yake ameweza kumshawishi akubali kuondoka mwakani.Kuhakikisha anaweka uhakika zaidi ameshamalizana na Keita kujoin msimu ujao.
Kwahiyo Can anaenda Juve hilo tayari limewekwa hivyo.
 
wegman King Ngwaba Kidowle Malafyale wakuu naomba mnijuze nasikia dirisha la usajili Spain linafungwa kesho lakini England ni leo usiku.
Itakuwaje kwa Coutinho ikitokea FCB wakamuhitaji kesho wakati England litakuwa lishafungwa je, ataweza kuondoka?

Mkuu Ni Kweli Dirisha la Usajili Uiengereza linafungwa leo saa 23:59:59 na Kuruhusu wale tu ambao watawasilisha Transfer sheets FA kabla ya Deadline, hawa wataruhusiwa mpaka Saa moja asubuhi ya Kesho Kukamilisha usajili! na ikifika saa moja ya kesho hujakamilisha usajili basi hutoruhusiwa kukamisha tena.
Lakini Kuhusu Usajili wa Coutinho jana nimeangalia Sheria Za FA nimezikutia Zinaruhusu Barcelona Kumchukua Coutinho hata kama Dirisha la FA limeshafungwa iwapo tu Dirisha la Spain lipo wazi...

Mkuu koncho77 , ni kweli spain dirisha lao huwa linafungwa Sept 1, kuhusu ili la uhamisho kusema wakimuhitaji Coutinho wakati England dirisha limefungwa sizani kama inawezekana kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba kila nchi dirisha lake la usajili linatakiwa liwe wazi, ingawa pia nimewahi sikia ili kumsajili mchezaji inatakiwa dirisha la usajili la timu anayoenda ndio liwe wazi. Subiri wadau wengine watakuja kuweka sawa kama nimekosea, Na PC usijali mkuu timu ishaweka msimamo kuwa hauzwi nukta.
 
Hongera kwa kutupiga 4-0 na kumpata bonge la Center Midfielder OX Chamberlain...Hahahahaha Ox anadhani atapata namba ya kati over Henderson, Can very funny.
 
Liverpool Echo Wameandika Hivi:-

"Though the Premier League transfer window closes at 11pm today, clubs in Spain have until midnight on Friday to complete deals, meaning the Coutinho saga could, theoretically, run on for another day"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom