Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona Wenger Baada ya Kuzikodolea Macho £60m za Man City anaonelana Kushawishika Kumuuza Sanchez! Hivyo kashaanza Kutufanyia Kisirani Kwa Thomas Lemar baada ya Kuona Draxlar Ni ndoto Kumpata...
 
Naona OX Kapewa Namba Ya Lucas 21 😀😀😀😀


IMG_20170831_180441.jpg
 
Wazee nasikia vvd yupo njiani anaenda liver kumaliza deal....kuna ukweli wowote hapa?
 
Wenger Mjinga Sana! Kenda Ufaransa Kukoroga Dili letu na Lemar ikisha Kasepa..

Hata Hivyo Liverpool Echo imeripoti kuwa Liverpool Huenda isisajili tena Katika Muda Huu uliobakia Kabla Ya Kifungwa Dirisha la usajili.. Hii ni Kutokana na Kuwa Soton bado imeshikilia msimamo wake wa kutomuuza VVD, Na Lemar Kuwepo Katika Timu Ya Taifa ya Ufaransa kunaleta Ugumu Upatikanaji wa Mchezaji huyo...

Liverpool UNLIKELY to make further signings before transfer deadline
 
Wakuu hivi huyu OX anaweza kuanza Kwenye Timu yetu au Kuna uwezekano wa Kutokea Benchi?
Nadhani match za kwanza ataanzia benchi kiwango kikiwa kizuri na akishaanza ku cope na wenzie hapo sasa mwenye kuperform vizuri ataanza mwenye kuperform ovyo atasugua benchi, sitoshanga Hendo kusugua benchi kama jamaa akionesha kiwango kizuri kuliko captain teh teh au captain kuchezeshwa role nyingine, ngoja tutaona itavokuwa mkuu muda utaongea.
 
Apprently klopp aliona ni beki mmoja tu duniani ndiyo bora kuliko Dejan Lovren na Klavan
 
This was our most important TW, but we ended up signing first teamer mmoja tu Salah

VVD rejected Chelsea/city/juventus for us, even putting in a TR but we never even bothered to bid.

Knowing that we needed to strengthen our defence, hatukuwa na alternative yoyote ile..Matip akiumia, tutakuwa na pair ya Lovren-Klavan kwenye Champions league

4 competitions this season and our squad imekuwa ndogo kuliko last season. No ambtions whatsover
 
And top reds are blaming Coutinho for wanting to leave this shit club.

One of the most talented and exciting player, Thomas Lemar wanted to join us. But we refused to pay up. Na kuna watu bado wanafikiri kuna mwanga wowote wa Liverpool kushinda makombe

Next summer, Mane/Firmino/Can will all want to leave. The worst run club in the world.

Of all the players in the world we've managed to sign oxlade fucking chamberlain for £40m and decide to not pay up for Lemar lol and y'all top reds out here questioning Coutinho's actions, who the *** would turn down the chance to play with Messi only to play with bums like Lovren and henderson?

FSG have ruined LFC and sadly Klopp doing the same thing for being a coward
 
Another season of Dejan fucking Lovren.

And we had 2 months to fix this
 
Messi/Dembele/Ronaldo/Asensio/Neymar/Mbappe against Lovren/Klavan/Gomez
 
Top reds will tell you Klopp is a magician lol

He had a very strong squad at Dortmund

Hakuwa na bums kama kina Henderson Or Lovren..

He wont win shit at LFC..

Matip ni injury prone, even Dejan Lovren ni injury prone..

Wakiumia hao who will be playing at CB? Emre Can? Lol

To think that we had 2 fucking months to fix this mess. But kulikuwa na CB mmoja tu duniani ambaye ni bora kuliko kina Lovren

FSG opted for Klopp over Ancelotti because Don Carlo is not a fucking Yes man

Klopp getting bullied by FSG..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom