eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Hivi liver mna mpango gani na taji la epl
Maana mmekuwa vilaza toka 1990
Kelele nyingi tu kumbe hamna kitu
Maana mmekuwa vilaza toka 1990
Kelele nyingi tu kumbe hamna kitu
Imetulia wapi team mbovu kabisaHata akiondoka sawa tu. Kwa sasa liverpool imetulia, ina midfielders na winga wazuri Tu. Forwad ya Firmino bado haijatengamaa ila itatulia
Sent using Jamii Forums mobile app
ComedianImetulia wapi team mbovu kabisa
Imetulia wapi team mbovu kabisa
Cou kashasepa zake barca
Timu mbovu lakini huu mwaka wa 5 mfululizo tunakupakata.
Duh sio kwa majibu hayoMkuu nahisi umekurupuka kutoka usingizini na "Daylight Dream" kwahiyo nakushauri urudie kulala tena.
Ana malengo Yule mpira wake upo tuDraxler wa nini Lemar nadhani anatosha,hivi Renato sanchez kimemkuta nini twaweza fufua kiwango chake akija??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ila naye safari inamwakia taaHivi ata Origi naye si ndo tulimsajili kwa style hii ya Naby Keita?!?
Moja Kati ya pumba za bwana huyuHivi liver mna mpango gani na taji la epl
Maana mmekuwa vilaza toka 1990
Kelele nyingi tu kumbe hamna kitu
Unampakata nani na nikikutana na liver mi naburuza tu team mbovu kabisaTimu mbovu lakini huu mwaka wa 5 mfululizo tunakupakata.
Mwisho wa siku wewe ndo utakuwa umekurupukaMkuu nahisi umekurupuka kutoka usingizini na "Daylight Dream" kwahiyo nakushauri urudie kulala tena.
Unampakata nani na nikikutana na liver mi naburuza tu team mbovu kabisa
Makombe atayasikia tuLeo Chelsea Wameikubali Rasmi Bei ya Alex Oxlade-Chamberlain ili Kumsajili, Lakini Mchezaji Huyo Amekataa Katakata Kumwaga Wino Kwenda Chelsea Na Anachotaka Yeye ni Kuja Liverpool! Kwahiyo Sasahivi Kunaendelea Mazungumzo ya Ana kwa Ana Kati ya Arsenal na Liverpool.
Kwahiyo ikiwa Mazungumzo yatakwenda Positive, Basi ndani ya masaa 30 OX akatua Liverpool..
Umejisahaulisha sioHivi Chelsea Kwenye EPL mara ya mwisho kumfunga Liverpool ilikuwa mwaka gani??