Kidowle
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,484
- 3,260
Wanamwachia huyu wanamsajili keita balde wa lazio kama replacementMonaco wametugomea kabisa kumtoa TL Barcelona wasahau kuhusu Cou
Wanamwachia huyu wanamsajili keita balde wa lazio kama replacementMonaco wametugomea kabisa kumtoa TL Barcelona wasahau kuhusu Cou
Tetesi zilizopo muda huu ni kwamba Neymar amemshauri Coutinho asiende FCB msimu huu
Cou kashasepa zake barcaMonaco wametugomea kabisa kumtoa TL Barcelona wasahau kuhusu Cou
Bado hajaondokaCou kashasepa zake barca
Ameshaondoka Huyo,liver wamewaambia barc wasitangaze kwanza hilo deal mpaka wampate mbala wa cou lengo ni kuhofia kuuziwa kwa bei ya juuBado hajaondoka
Kama Barca wameambiwa wasitangaze wewe umejuaje.Ameshaondoka Huyo,liver wamewaambia barc wasitangaze kwanza hilo deal mpaka wampate mbala wa cou lengo ni kuhofia kuuziwa kwa bei ya juu
Na ile report ya kuhusu neymar amemshauri cou asiondoke liver ilikuwa ni ya uongo na mwandishi wa habari alikiri Jana.
Kaondoka kwa dau la 160MKwa nini ma-effect
Bado hajaondokaKaondoka kwa dau la 160M
Viongozi wa liverpool wamesafiri kuelekea mjini Monaco kuongeza kasi ya kumpata TL tegemea chochote kabla dirisha la usajili halijafungwaHata akiondoka sawa tu. Kwa sasa liverpool imetulia, ina midfielders na winga wazuri Tu. Forwad ya Firmino bado haijatengamaa ila itatulia
Sent using Jamii Forums mobile app