Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa kikosi kile cha mwaka jana cha sometimes tunamtegemea Origi lkn tumecheza CL mwaka huu!
Mpe kikosi kile hata Babu Ferguson hachezi CL
Jamani kwa sasa Liverpool ndiyo ina kocha!
Miaka hii 20 walikuwepo wazushi tu

Muda ni hakimu hata kwa kina watfod asingepata droo angepigwa babu ferguson.
 
Nmetumwa kutoka Barcelona naomba mtuuzie Cotinho ,wala hamtapoteza kitu team yenu nzuri sana bila Cot na tutawachoteeni ule mzigo wa muarabu kutoka Qatar ili mumchukue Renato Sanchez
 
Sasahivi kwenye timu yetu tumebakisha magarasa mawili tu! Lovren na Hendo... Tukiondosha hao na kuleta mbadala wao VVD na Keita, hapo tusibiri tufanye vitambi tu kwa raha.
We tema.mate chini hivi umemuangalia hendo mechi alizocheza? Interception zake ......hendo ni punda achana nae kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangazo
Alhamis tutakuwa na mnada wa wazi wa kumuuza Coutinho maana hatumihitaji tena so timu zote Man U arsenal barca madrid chelsea man city wote mnakaribishwa bila kuchelewa
Mnada utasimamiwa na Yono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmetumwa kutoka Barcelona naomba mtuuzie Cotinho ,wala hamtapoteza kitu team yenu nzuri sana bila Cot na tutawachoteeni ule mzigo wa muarabu kutoka Qatar ili mumchukue Renato Sanchez
Mmezoea kutoa dau pungufu kama mlivyotufanyia unyama kwa Suares hapa mtajiongeza 150mil mezani mumchukue na mwisho ni leo mkishindwa ndo basi tena unamjua Naby Keita??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona ubaya wa Hendo

Huwezi ona ubaya wa hendo mpaka kwanza ujuwe majukumu ya Half-back six (Defensive midfield) ni yapi!! Kwa msaad tu Kawaangalie Kina Matic, Keita, Kante, Casemiro n.k. halafu utazame na uchezaji wa mwanamitindo wetu hendo ndiyo utajua ubaya wake! Huwezi Kuwalaumu mabeki wetu Kuconcede magoli mengi bila ya kumuangalia namba sita wetu je anatimiza majukumu yake?
 
We tema.mate chini hivi umemuangalia hendo mechi alizocheza? Interception zake ......hendo ni punda achana nae kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mimi ninamjua hendo tokea Hajatua Liverpool na niliujua uwezo wake that is why sijawahi kumkubali hata siju moja...
ikiwa unaongelea Side pasi and Back pasi za hendo ndiyo Defensive midfielder inavyochezwa! basi hapo hujakosea kumsifu hendo...
Mkuu mido yetu bado sana... Inachoweza Ni Kupiga pasi za nyuma na Pasi za pembeni tu..
 
Ni kweli mkuu?
Anakuja january ama june
Naby Keita: Liverpool agree club record deal for Leipzig midfielder for July 2018
_90327002__64086311_phil-mcnulty_203x152.jpg

By Phil McNulty

Chief football writer

He's joining us from July 2018.
 
hatuna budi kuukubali ukweli mchungu kuwa bila kuifanyia kazi defence yetu hii (iwe ku-upgrade kwenye personnel ama ku-streamline defending system), ubingwa wa EPL ni ndoto ya alinacha.

let's not forget...an attacking team entertains you and wins you some games handsomely, but a resolute defence wins you titles!
 
Hivi ata Origi naye si ndo tulimsajili kwa style hii ya Naby Keita?!?
 
OX kakataa kwenda Chelsea
Anataka kama kuondoka Arsenal aje tu Liverpool
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom