same o-LFC.
mechi hii inanikumbusha ile ya vs the Wolves kwenye FA cup.
Klop hatoiweza EPL kwa vile hana tactical flexibility.
kwa bahati mbaya wengine tunaishi realistically...siyo emotionally.Tuna shinda hii
Worry not
Hutaamin tunashinda hiiBundi anarandaranda mitaa hii![]()
mkuu, hatuamini uchawi achilia mbali bundi.Bundi anarandaranda mitaa hii![]()
Hilo ni neno la utani tu kimpira na sio vinginevyo mkuu, relax.mkuu, hatuamini uchawi achilia mbali bundi.
ila tuna mgonjwa mahututi ambaye chanzo chake tunakijua. anahitaji kufanyiwa surgery kabla ya msimu mpya!
We mwwnyewe muogaMna imani ndogo sana wana KOPS wenzangu!Boro haiwezi mzuia Liverpool asicheze CL
Nifah huku usituchokozeNimetamani kulia hahahaaaaaa