Hi inamaana man u akishinda uropa hatushiriki uefa au??
Tunashiriki ila itabidi kucheza round za mwanzo kupata nafasi ya makundi moja kwa moja so round za Mwanzo unapelekwa zile nchi za barafu mbaliiii timu za Alhamisi.
 
You'll Never Walk Alone
ac28969e767f792adc90b867c211dff0.jpg
 
Tunashiriki ila itabidi kucheza round za mwanzo kupata nafasi ya makundi moja kwa moja so round za Mwanzo unapelekwa zile nchi za barafu mbaliiii timu za Alhamisi.
Mkuu Pazi upo??! sijakuona jukwaani kitambo aise, wanakopites hivi round za mwanzo katika UEFA huwa wanazingatia kitu gani katika kupangilia zile mechi kabla ya kufika hatua ya makundi?

YNWA
 
Tunashiriki ila itabidi kucheza round za mwanzo kupata nafasi ya makundi moja kwa moja so round za Mwanzo unapelekwa zile nchi za barafu mbaliiii timu za Alhamisi.

Tupo SEEDED sababu Dortmond kashinda jana!
So technically tumeisha pita sababu tutapangiwa na team toka Bulgaria au Romania huko
 
Back
Top Bottom