Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Our Targets.......

VIRGIL VAN DIJK
ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN
RYAN SESSEGNON
NABY KEÏTA
MAURO ICARDI
sasa ndo nini hiki??? Tafuteni watu wenye winning mentality ambao wako peak, for sure i stoped calling you mediocre after seeing you capable of top 4 finish, huwezi kuidharau team inayocheza champions league ila sasa mkisajili average players tutawaita tuu med........

Siku hizi Uefa inataka quality na form nzuri ya squard na sio uzoefu angalieni msimu huu squad ya barca ndo utaelewa ninachozungumza, kizazi cha kubahatisha kina alonso ambao anakuja wakawaida then anakuja kuwa dhahabu tusidanganyane
 
Mkuu nenda ukacheki mechi yako inakaribia kuanza
 
Naby keita bonge la middle, waulize wanaofuatilia bundesliga watakuambia
 
Utawaweza wachambuzi makanjanja? Kwenye radio za bongo kila mtu mchambuzi.
Uingereza wataingiza timu 5 UEFA kama Man Utd atashinda Europa league kwa kuwa Man Utd hayumo ndani ya top 4. Lakini kama angekuwepo ndani ya top 4 then akashinda Europa league then timu nne tu zingeingia UCL.
Wachambuzi wa bongo vilaza uingereza wanapeleka timu 5 so hata kama man wakishinda europa stil.aliyeshika namba 4 ataenda maana maximum wamepewa ni 5 nafasi
 
Wijnaldum hajawahi kucheza number 6 tangu azaliwe.

Cant believe you want Pickford to be LFC's number 1 goalie.
Wilj hapo atakuwa ktk 4-3-3
wa tatu wa kwanza ni Wilj,Lallana na Coutihno
Pickford is new De Gea!Akicheza mara kwa mara huyu ni England's De Gea
Umri wake na uwezo wake utafanya acheze soka muda mrefu sana!
Long term asset!
 
Wachambuzi wa bongo vilaza uingereza wanapeleka timu 5 so hata kama man wakishinda europa stil.aliyeshika namba 4 ataenda maana maximum wamepewa ni 5 nafasi
Nilicheka tu nilipo ona hiyo!
Hawajui lolote ni wa kuwahurumia tu!
 
sasa ndo nini hiki??? Tafuteni watu wenye winning mentality ambao wako peak, for sure i stoped calling you mediocre after seeing you capable of top 4 finish, huwezi kuidharau team inayocheza champions league ila sasa mkisajili average players tutawaita tuu med........

Siku hizi Uefa inataka quality na form nzuri ya squard na sio uzoefu angalieni msimu huu squad ya barca ndo utaelewa ninachozungumza, kizazi cha kubahatisha kina alonso ambao anakuja wakawaida then anakuja kuwa dhahabu tusidanganyane

Unaweza Kuniambia Kante Mumemtoa wapi na alikua na Kiwango gani na sasa yupo kwenye kiwango gani?

Hebu iangalie hiyo First XI yenu na Uniambie ukimtoa Diego Costa ni nani Mwengine Aliyekuja hapo akiwa tayari ni World Class Player???
 
dd39033dd691755e0384fecec3b86f11.jpg
 
Leo tuna kazi moja tu, KUSHINDA hii mechi tena kwa kishindo.
YNWA.
 
Jana ilikuwa ni first perfomance ya Coutinho katika sehemu ya kiungo (8) kwa msimu huu. Na amefanya mambo ambayo Pogba huwa anastruggle kuyafanya kwa msimu wote huu katika eneo hilo hilo la Kiungo.

And we bought that little magician kwa £8m tu lol.
Thanxs to BR na scout wake waliona mbali sana kwa A Brazilian Magician
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom