Kweli maisha yapo mbio HAHAAAAAA mlivoipania hii mechi utadhani ni fainali ya kombe la dunia HAHAAAAA kumbe ni vs relegated middle


Hapa hatuangalii tunamfunga nani! Bali tunachokazania ni kusecure nafasi ya Champion League kwa kuondoka na Points 3 jioni hii......
Hata Babu yenu Wenger kaongea Shombo sana kuhusu Gemu hii ingawa unajifanya Hujui....
 
Kumbe kushinda tunaweza tukiamua. Hizi mechi mbili za mwisho wameonyesha hali ya kutaka kushinda kwa kweli...
 
Sijasahau ndoto zetu zilipobadilika kutoka ubingwa(mwezi December) mpaka kugombania nafasi ya 4 mwezi May.Bila kufanya usajili wa maana(maana kweli) tutarudi tena Europa soon.
 
I love you son.

1403.jpg
 
tushukuru Mungu lakini timu inahitaji a lot of strengthening kwenye key positions (1 LB, 2 CBs, 1 ball playing HM, 1 prolific CF) kwenye dirisha kubwa la usajili.
 
When you walk through a storm
Hold your head up high
And don't be afraid of the dark

At the end of a storm
There's a golden sky
And the sweet silver song of a lark

Walk on through the wind
Walk on through the rain
Though your dreams be tossed and blown

Walk on, walk on
With hope in your heart
And you'll never walk alone

You'll never walk alone
Walk on, walk on
With hope in your heart
And you'll never walk alone

You'll never walk alone
 
Back
Top Bottom