Kesho tunafuzu CL
Yutacheza CL tukiwa na kikosi imara sana 2017/18
Kesho ni muhimu kwetu ushindi
Kesho tunashinda 6-1
Kesho ndo kesho
Leo tuna kazi moja tu, KUSHINDA hii mechi tena kwa kishindo.
YNWA.
Leo ni leo tiketi ya kucheza CL ipo mikononi mwetu tushindwe wenyewe.
Kweli maisha yapo mbio HAHAAAAAA mlivoipania hii mechi utadhani ni fainali ya kombe la dunia HAHAAAAA kumbe ni vs relegated middleLeo tuna vaa uzi mpya wa 17/18
Kweli maisha yapo mbio HAHAAAAAA mlivoipania hii mechi utadhani ni fainali ya kombe la dunia HAHAAAAA kumbe ni vs relegated middle
Klopp kikosi kakipangaje?