Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

6d7655a75ce59034db33457b9ca17ccf.jpg
e35748a39238d04ecbaf115b46b7c2f1.jpg
0f18bd70bda4055e41165bcf3c31fc30.jpg
c517fab9303e41725c19c1c8e8416e20.jpg
 
LFC's clean sheet today was their third successive shutout in the league for the first time since August 2015
 
1.Jordan Pickford
2.Clyne
3.Maguire
4.Van Djik
5.Matip
6.Wilj
7.Lallana
8.Coutihno
9.Lacazete
10.Mane
11.Firmino
Reserves
Mignolet
Hendo
Can
Brandt
Hector
Lovren
Milner
Dan
WHAT A DEPTH?
 
Klopp Next season hawezi ondoka Coz Maamuzi yetu ya Club Yanaamuliwa na Bodi ya Timu.... Unlike Chelsea Maamuzi Ya Kufukuza Kocha Anayo Abaramovic pekee... Akiamu hata kama Yupo Baa basi anafukuza tu Kocha...
Umepata cha kuongea baada ya kutoka mafichoni. Alafu ujue kuwa abramovic anataka mafanikio siyo mtu wa sport sport. Kqma huendani na kasi yake unalimwa tu akuna namna.

Meanwhile hongereni kwa kuwa na uwakika wa kucheza Uefa kama sisi.
 
Nimewasikia efm wakijadili nafasi za uwakilishi UCL.. Wanadai England itatoa timu 4 tu UCL hata kama Manchester United itawin europa league.. Nafasi 5 zingepatikana if UCL na Europa zingetwaliwa na club za England

Kama MUFC atachukua europa, timu zitazoenda UCL ni mshindi wa 1-3 kwenye PL na MUFC.. Hii imekaaje wadau..?
 
Mimi ninavojua bingwa was Europe anaingia kwenye makundi ya uefa moja kwa moja
 
Nimewasikia efm wakijadili nafasi za uwakilishi UCL.. Wanadai England itatoa timu 4 tu UCL hata kama Manchester United itawin europa league.. Nafasi 5 zingepatikana if UCL na Europa zingetwaliwa na club za England

Kama MUFC atachukua europa, timu zitazoenda UCL ni mshindi wa 1-3 kwenye PL na MUFC.. Hii imekaaje wadau..?

Sports journals wa Tz ni makanjanja sana. Sielewi ni kwanini watu huwa wanapoteza muda wao kuwasikiliza hawa jamaa.

Kwanza kabisa wanatakiwa waelewe, maxmum CL QF ni clubs TANO kwenye hizi leagues kubwa barani ulaya. huyo wa Tano huwa anaongezeka kama akishinda Europa league. Ni kama vile EPL teams zinapopata nafasi ya kucheza Europa kama kama zikishinda FA cup/Capital one Cup (zinapata nafasi ya kucheza Europa league kama zinakuwa hazijamaliza Top 4).

Kama United akipoteza final, atapata tiketi ya kushiriki tena Europa league kwasababu watamaliza league wakiwa wa 6 na walishinda Capital one cup. Ila kama wakishinda final, watafuzu moja kwa moja kwenye UCL kwa tiketi ya Ubingwa wa Europa league na siyo Top four Finish.

Arsenal watacheza Europa kama wakimaliza wa 5, na pia wakishinda FA cup watapata tiketi ya moja kwa moja ya Europa league. So chelsea wakishinda FA cup haitobadilisha kitu, kwasababu tayari washafuzu UCL kwa kumaliza wa kwanza kwenye league.

EPL ilikuwa kwenye hatihati ya kupunguziwa teams za ushiriki kwenye CL kwasababu ya ubovu wa teams zake kwenye mashindano hayo, but bado hawajafika huko. Na msimu ujao ni teams tano za England zitaingia CL kama tu United watashinda Final.
 
Jana ilikuwa ni first perfomance ya Coutinho katika sehemu ya kiungo (8) kwa msimu huu. Na amefanya mambo ambayo Pogba huwa anastruggle kuyafanya kwa msimu wote huu katika eneo hilo hilo la Kiungo.

And we bought that little magician kwa £8m tu lol.
 
Nimewasikia efm wakijadili nafasi za uwakilishi UCL.. Wanadai England itatoa timu 4 tu UCL hata kama Manchester United itawin europa league.. Nafasi 5 zingepatikana if UCL na Europa zingetwaliwa na club za England

Kama MUFC atachukua europa, timu zitazoenda UCL ni mshindi wa 1-3 kwenye PL na MUFC.. Hii imekaaje wadau..?

Utawaweza wachambuzi makanjanja? Kwenye radio za bongo kila mtu mchambuzi.
Uingereza wataingiza timu 5 UEFA kama Man Utd atashinda Europa league kwa kuwa Man Utd hayumo ndani ya top 4. Lakini kama angekuwepo ndani ya top 4 then akashinda Europa league then timu nne tu zingeingia UCL.
 
Last monday Klopp aliongelea kuhusu kumchezesha Coutino kama namba Nane (DLP) msimu ujao. Na naona jana akajaribu and it paid off..

Now nimegundua kwanini Klopp anatarget sana LW, DM, CB, LB. With Can/Wij/Cou nadhan Klopp atakuwa anahitaji a Mascherano Esque DM, ambaye hakai na mipira sana (kazi yake ni kutibua mipango ya opponents kwenye Mid and Assiting Fullbacks) so itakuwa ni new DM, Can/Wij na Coutinho. Then would like to see Firmino kwenye number 10, kama Klopp akifanikiwa kuleta ST. Nimesikia kuwa we want Luan. He's more like Firmino. But if the rumours are true nadhan atakuja kucheza wide.

We need to add a DM and then continue to rotate Can/Gini/Grujic/Lallana and honestly can see Grujic playing a big part next season.
 
Away Goals against the TOP SIX TEAMS in the League.

Manchester United - 1

Dejan Lovren - 1
 
1.Jordan Pickford
2.Clyne
3.Maguire
4.Van Djik
5.Matip
6.Wilj
7.Lallana
8.Coutihno
9.Lacazete
10.Mane
11.Firmino
Reserves
Mignolet
Hendo
Can
Brandt
Hector
Lovren
Milner
Dan
WHAT A DEPTH?

Wijnaldum hajawahi kucheza number 6 tangu azaliwe.

Cant believe you want Pickford to be LFC's number 1 goalie.
 
Luan Guilherme de Jesus Vieira Huenda ukawa ndio usajili wetu wa Kwanza Mara hii... Lakini still tutahitaji Centre Foward Kwani Huyu jamaa Ni Quality Ya Kina Firmino na Coutino! si mwenye stats nzuri sana za Goal per game...

Luan-Liverpool-target.jpg
IMG_20170515_194007.JPG
 
Our Targets.......

VIRGIL VAN DIJK
ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN
RYAN SESSEGNON
NABY KEÏTA
MAURO ICARDI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom