Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Worry not fellas
CL tunacheza ingawa tunatakiwa kukaza sana!
Sakho ndiyo leo kaharibi kabisa,atauzwa hata cheap
 
We're playing Watford next (AWAY)

We've got to play West ham Away too, Bogey team for us..

Then Southampton..another bogey team for Us.

We'll only win against Boro..

And end up at 5th + Europa league and signing shit players yet again.

We will win all of those games and we will play CL football!
Klopp akishinda anasifiwa,akipoteza is a real shit!
Man U na Arsenal hawezi maliza mbele ya Liverpool hata itokee nn!
Man U huyu hawezi mfunga Totenham hata wachezee Kaitaba!Pia hawezi mfunga Man City wala Everton
100% tunacheza CL
 
Yaaani hunishindi mimi aiseeeeeeee!!! Mpka naumwa

utapona dawa yako nipo

leo nimelitafuta jukwaa hili sana kumbe unfollow bila kujua mweee!! ...

Hii ulifanya kusudi kwakua unajua kabisa huchezi CL tena karoho kanakuuma

Namshkuru mwenyezi niko vizuri, hofu ilikuwa kwako maana nilikuwa sikuoni

Kijiweni kwetu huji siku hizi tumekukosea nini?

Nilikuwa natafuta sababu sasa nimepata, ibra out sasa namba 10 inawaita

Pole dia,wapi gegen press ??

Hali tete mtani hiyo ilisha potea
 
No!Is not
Toa Lovren anza na Gomez pairing with Matip
CL football mwakani isha ipata msiwe na wasi wasi na kubahatisha kwa Man U kwa Chelsea kama ndiyo atafanya tena kwa Man City,Arsenal na Totenham

Hiyo ndiyo sababu ya kuwa shit, I like a boy for his passion not playing style.

Mkuu CL weka 50/50
 
100%
Man U hawezi mfunga Totenham wala Man City Alhamis hii hata wachezee Kirumba Stadium
Arsenal hawezi mfunga Totenham either!!
 
Wengi sana wameshtuka na fluke football ya Man U kwa Chelsea
Man U hawezi maliza juu ya Liverpool msimu huu
Hawezi akawa na bahari kwa games kama Totenham,Arsenal,Man City na Everton!
 
1.Hivi unakumbuka mara ya mwisho United amefungwa lini kwenye EPL ?

2.Manchester United hana mechi against Everton

3.Katika mechi 6 zilizobaki only Man City ndio alitufunga.Spurs,Swansea,Saints,CPalace tuliwafunga while Arsenal alipata draw

4.United wanacheza vizuri na kushinda mechi za ugenini kuliko za OT,kati ya game 6 zilizobaki 4 tunacheza away

5.Liverpool amebakiza big match zote labda game ya Mido ndio mna uhakika kushinda
 
Rodgers: "There is maybe an issue with scouts. When I was at Liverpool I asked about Van Dijk & he was at Groningen & then at Celtic."
 
1.Hivi unakumbuka mara ya mwisho United amefungwa lini kwenye EPL ?

2.Manchester United hana mechi against Everton

3.Katika mechi 6 zilizobaki only Man City ndio alitufunga.Spurs,Swansea,Saints,CPalace tuliwafunga while Arsenal alipata draw

4.United wanacheza vizuri na kushinda mechi za ugenini kuliko za OT,kati ya game 6 zilizobaki 4 tunacheza away

5.Liverpool amebakiza big match zote labda game ya Mido ndio mna uhakika kushinda

Huwezi mfunga Spurs,Man City,Arsenal wala CP!Mechi na Chelsea ilikuwa siku mbaya kwa Chelsea na utakubaliana nami kuanzia Alhamis hii
Rashford kwa fit again Kompany?Punguza utani pls
 
Mkuu weka akiba ya maneno...mwanzoni hakuna mtu alieyetarajia tutamfunga Chelsea..
Hata Wewe pia hukutarajia Crystal palace kukufunga.... hiyo yote tunaita in Football anything can happen!
 
utapona dawa yako nipo

Hii ulifanya kusudi kwakua unajua kabisa huchezi CL tena karoho kanakuuma

Namshkuru mwenyezi niko vizuri, hofu ilikuwa kwako maana nilikuwa sikuoni

Nilikuwa natafuta sababu sasa nimepata, ibra out sasa namba 10 inawaita

Hali tete mtani hiyo ilisha potea
Hahhha mtani CL nipo kwani hujui nachukua Europa?? We pita kule mi napita huku tutakutana katikati.!!!!
 
Wengi sana wameshtuka na fluke football ya Man U kwa Chelsea
Man U hawezi maliza juu ya Liverpool msimu huu
Hawezi akawa na bahari kwa games kama Totenham,Arsenal,Man City na Everton!
Weka akiba ya maneno kaka tusikimbiane...
 
Siwezi kukimbia sredi yetu
Mashabiki wametetemeka kwa technical fluke ya Man U kwa Hazard wakimtumia Herrera!Alhamisi hawawezi hata pata sare kwa Man City!Rashford ndiyo atafanya nn kwa fit again Kompany?Au kw apair ya Ventongen na Alde wa Totenham?Tuache utani jamani
Man City na Liverpool watashindana nafasi ya 3 na ya 4!
 
Hizi ngonjera zako hujaanza leo tumeshakuzoea hapa JF
Huyo Rashford unayemponda last season ndio aliwafunga Man City na Arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom